• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Kumhamisha Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari

Ili kumuhamisha mwanafunzi wa shule ya Msingi ndani na nje ya wilaya ama mkoa. Mzazi/Mlezi anapaswa kufuata taratibu zifuatazo:

  1. Mzazi/Mlezi unapaswa kuomba kwa maandishi nafasi ya uhamisho katika shule unayotaka kumhamishia
  2. Mzazi/Mlezi fika shule anayosoma mwanafunzi na jaza fomu za uhamisho pamoja na kuchukua kadi liyosainiwa na mwalimu wa darasa pamoja na mwalimu mkuu ikiwa na maelezo ya maendeleo ya mwanafunzi
  3. Mzazi/Mlezi wasilisha picha sita za pasipoti za mwanafunzi katika shule anayosoma
  4. Wasilisha fomu ya uhamisho pamoja na kadi ya maelezo ya mwanafunzi kwa Afisa Elimu Kata ili zisainiwe.
  5. Wasilisha fomu ya uhamisho pamoja na kadi ya maelezo ya mwanafunzi ofisi ya Afisa Elimu wa Halmashauri kwa ajili ya kupitishwa na kusainiwa.
  6. Fomu za uhamisho zilizosainiwa zitapelekwa katika ngazi ya mkoa kupitishwa na kusainiwa na Afisa Elimu Mkoa.
  7. Afisa elimu mkoa ataziwasilisha fomu hizo kwa afisa elimu mkoa anaohamia mwanafunzi na taratibu zitafuata kuanzia ngazi ya mkoa mpaka shule.

ZINGATIA: Uhamisho ndani ya Halmashauri, utaishia kwa Afisa Elimu wa Wilaya.

Matangazo

  • TANGAZO LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA April 29, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2021 HALMASHAURI YA MBEYA December 19, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA April 23, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI December 17, 2020
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KATEMBA ATANGAZA MATOKEO YA UBUNGE

    October 29, 2020
  • hakikisheni mnafuata sheria, kanuni, miongozo na maelekezo yanayotolewa na tume ya uchaguzi- Katemba

    October 26, 2020
  • wanaorudisha mikopo kwa wakati wakopeshwe vyombo vya usafiri-Chalamila

    July 11, 2020
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA MMENISAPRIZE-CHALAMILA

    June 20, 2020
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.