• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Bilioni 4.5 kukusanywa kutoka vyanzo vya ndani

Imewekwa: March 19th, 2021

Baraza la madiwani halmashauri ya wilaya ya Mbeya limepitisha bajeti ya mwaka wa fedha 2021/2022 huku ikitegemea kukusanya kiasi cha shilingi 4.5 bilioni kutoka katika vyanzo vya mapato ya ndani.

Katika bajeti ya mwaka huo, mapendekezo ya matumizi ya fedha husika yakiwa kwenye miradi ya kimkakati itakayoiingizia halmashauri mapato ambayo ni ujenzi wa shule ya mchepuo wa kingereza na uwezeshaji kilimo cha parachichi.

Akiwasilisha taarifa hiyo ya rasmu ya bajeti kwa mwaka husika mbele ya baraza la madiwani naye Afisa Mipango wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya Ndg. Filbert Mbwilo amebainisha kuwa kwa mwaka wa fedha 2021/2022 halmashauri ya wilaya ya Mbeya inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi 56,498,189.15 kutoka katika vyanzo vya mapato ya ndani , serikali kuu na wahisani.

Baadhi ya madiwani wameona kuwa bajeti hiyo inatoa matumaini kuwa huenda ikawavusha kwani imejaribu kugusa katika kila maeneo kama ya Elimu, Afya na kilimo.

“Bajeti hii imegusa kila maeneo ya wananchi tunaona mwelekeo  kujenga shule ya halmashauri tunategemea kuwa na halmashauri ambayo inaenda kujitegemea” Ibrahimu Mwakasege, diwani wa kata ya Ilungu.

“Nimefurahishwa sana na hii bajeti kwani inaonesha mwelekeo wa kupambana na ukatili wa kijinsia katika eneo letu” mwananchi wa kata ya Inyala Felister Kaisi.

Matangazo

  • TANGAZO LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA April 29, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2021 HALMASHAURI YA MBEYA December 19, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA April 23, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI December 17, 2020
  • Tazama zote

Habari mpya

  • Bilioni 4.5 kukusanywa kutoka vyanzo vya ndani

    March 19, 2021
  • SHULE YA MSINGI MKOMBOZI YAPOKEA MADAWATI 12

    February 15, 2021
  • UONGOZI WA HALMASHAURI WATAKIWA KUTENGA FEDHA KWA AJILI YA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU.

    February 11, 2021
  • KATEMBA ATANGAZA MATOKEO YA UBUNGE

    October 29, 2020
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.