Imewekwa: July 15th, 2021
Waheshimiwa madiwan na Mkuu wa wilaya ya Mbeya wamekabizi rimu na taulo za kike(Pedi) kwa watoto wa kike wa shule ya sekondari ya wasichana Galijembe kwa lengo la kuboresha mazingira...
Imewekwa: May 28th, 2021
Halmashauri ya wilaya ya Mbeya inaratibu mradi wa kuwawezesha vijana waliokosa elimu ya mfumo Rasmi uitwao (IPOSA) wenye lengo la kuwawezesha vijana waliokosa elimu ya mfumo rasmi kuweza kujiteg...
Imewekwa: May 5th, 2021
Mkuu Mkoa wa Mbeya Mh. Albert Chalamila amewataka wananchi wa kata ya Iwindi kuona kuwa kutoa michango ya chakula kwa ajili ya watoto wao siyo adhabu bali ni lengo la kuboresha afya ...