• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Utumishi na Utawala

Idara ya Utumishi Na Utawala inaongozwa na Nicodemus Tindwa

Idara hii inatoa huduma mbalimbali kama ifuatavyo:

1.Kuajiri (Kuingiza watumishi wapya kwenye payroll

2.Kupandisha vyeo watumishi wa idara mbalimali (Promotion.)

3.Kuwaondoa kwenye payroll watumishi waliostaafu, kufariki, kuacha kazi na utoro wa muda mrefu.

4.Usimamizi wa watumishi katika maslahi mbalimbali ya kiututumishi kama nidhamu.

5.Kusimamia taarifa za kiutumishi na mishahara (Human Capital Management Information System (HCMIS-Lawson).

6.Kuandaa mpango wa mafunzo wa halmashauri na mahitaji ya mafunzo kwa watumishi.

7.Kuratibu mahudhurio ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya

8.Kuandaa taarifa za idara, taarifa za Tume ya Utumishi wa Umma, taarifa za utekelezaji za robo mwaka.

9.Kutunza na kujaza rejesta za taarifa mbalimbali za watumishi mfano walioacha kazi, watoro, waliofariki, waliohama, waliohamia, waliostaafu.

10.Kuratibu mpango wa likizo ya mwaka kwa watumishi “Leave roster.

11.Kusimamia suala la ujazaji wa fomu za upimaji wa wazi na utendaji kazi (OPRAS) kwa watumishi wa Halmashauri na Idara ya Utawala.

12.Kuandaa takwimu za kiutumishi za Halmashuari.

13.Kuandaa na kusimamia sera ya usimamizi na uendeshaji wa ofisi ya Halmashauri.

14.Kuandaa bajeti ya idara ya utawala kwa kila mwaka wa fedha.

15.Kuandaa mpango wa manunuzi wa Idara ya Utawala.

16.Kusimamia watendaji wa vijiji na kata kuhusu kuitisha mikutano ya kisheria na utekelezaji wa shughuli za utawala bora.

17.Kuandaa taarifa ya kila robo ya mikutano ya kisheria iliyofanyika kwa ngazi zote na kuiwasilisha katika taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Serikali za kila robo.

18.Kuandaa bajeti ya mishahara (PE) na kuingiza kwenye mfumo wa taarifa za kitumishi na mishahara.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • BARABARA ZA BIL.2+ KUJENGWA MBEYA DC, MBUNGE NJEZA ASHUHUDIA MIKATABA.

    May 24, 2025
  • DALADALA NA BAJAJI FATENI SHERIA - DED ERICA.

    May 29, 2025
  • WAFUNDISHENI PIA ULAJI WA LISHE WATU MAOFISINI RC DKT. HOMERA.

    May 26, 2025
  • Msingwa ateta na Maafisa habari wa Mikoa na Halmashauri

    May 24, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.