• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Historia

HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA

1.1 HISTORIA YA HALMASHAURI

Halmashauri ya wilaya ilianzishwa mwaka 1984 kama Halmashauri ya wilaya baada ya kuanza kufanya kazi Sheria ya Serikali za Mitaa(Mamlaka za Wilaya) Na. 7(1982). Chini ya mkurugenzi John T. Matata 1984-1990, Orodha ya wakurugenzi waliopita katika halmashauri  ya wilaya ya Mbeya ni pamoja na John T. Matata, Daudi J. Mwabulambo 1990- 1996, Joseph J. Kahale 1996- 1996, Solanus M. Nyimbi 1996- 2005, Raphael . k. Kimoleta, 2005-2006,  Juliana T. Malance 2006-2012, Upendo A. Sanga 2012- 2016, Amelchiory M. Kulwizila 2016 – 2018 pamoja na Stephe E. Katemba 2018 hadi sasa.


1.2     MIPAKA NA UTAWALA

Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya ni moja kati ya Halmashauri saba (7) za Mkoa wa Mbeya; zingine ni Mbarali, Chunya, Kyela, Rungwe, Busokelo na Jiji la Mbeya. Halmashauri hii iko kati ya Latitude 7° na 9° Kusini mwa Ikweta na Longitude 33° na 35° Mashariki mwa Greenwich.  Wilaya inapakana na Wilaya ya Mbarali na Makete kwa upande wa Mashariki, Rungwe na Ileje upande wa kusini, Magharibi imepakana na Mbozi, Momba na Kaskazini Wilaya ya Chunya.

 Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inaundwa na Tarafa tatu ambazo ni Tembela, Isangati na Usongwe. Baada ya kuanzishwa kwa Mamlaka ya mji mdogo wa Mbalizi mwaka 2014, Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inajumla ya Kata ishirini na nane (28), Vijiji 140 na Vitongoji 931 vyenye jumla ya kaya 74,468.

Aidha Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya ina jumla ya Madiwani 38, kati ya hao 28 ni madiwani wa kuchaguliwa na 10 ni Madiwani wa viti maalum. Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inajimbo moja la ubunge linalojulikana kama jimbo la Mbeya vijijini. Pamoja na Baraza la Madiwani maamuzi ya Halmashauri yanafikiwa kwa kupitia Kamati zake za kudumu nne (4) ambazo ni:

(i)      Fedha, Uongozi na Mipango

(ii)      Elimu, Afya na Maji

Uchumi, Ujenzi na Mazingira

UKIMWI

ENEO LA ARDHI.

Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya ina eneo la Ukubwa wa Kilometa za Mraba 2,432 ambazo ni sawa na hekta 243,200.  Eneo linalofaa kwa kilimo ni hekta 216,400 sawa na asilimia 88.9.

IDADI YA WATU 

Kwa mujibu wa matokeo ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 Halmashauri ina jumla ya wakazi 305,319 kati yao wanaume ni 143,779 na wanawake ni 161,540 sawa na ongezeko la asilimia 2.5 kwa mwaka.  Msongamano wa watu kwa eneo ni watu 127.6 kwa kilometa ya mraba (km²).

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.