• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mipango, ufuatiliaji na Takwimu

UTANGULIZI

Idara hii ni moja kati ya Idara 13 katika Halmashauri ya Mbeya yenye watumishi 7 Idara hii ni kiungo (Hub) kikubwa kati ya idara zingine katika utekelezaji wa majukukumu ya maendeleo ya wananchi katika Halmashauri.

Idara inaratibu mipango ya maendeleo,inafuatilia na mwisho wa yote inatathimini matokeo ya utekelezaji wa miradi iliyopangwa kwa kipindi cha Mwaka husika wa Fedha.

MAJUKUMU YA IDARA

  • Kuratibu maandalizi ya mipango ya Halmashauri ,bajeti ,usimamizi na ufuatiliaji .
  • Kuratibu kiwango cha mafanikio ya Halmashauri , fursa zinazojitokeza na kuzitumia.
  • Kusambaza taarifa za mbalimbali za kisera , miongozo na maelekezo yanayo kuja kutoka ngazi za juu kwa wakuu wa idara ,wafanyakazi na wasaidizi wengine.
  • Kutengeneza mpangilio sahihi wa ukusanyaji na kuboresha taarifa za Halmashauri ya Wilaya kutoka katika ngazi za kata  na vyanzo vingine kwa kuzichambua ,kutolea ufafanuzi ,kusambaza na kuzihifadhi
  • Utengenezaji na utoaji wa huduma na tathumini ya utendaji kazi na takwimu za Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya
  • Kuandaa na kuunganisha taarifa za mikakati ya maendeleo  ya Halmashauri na  usimamizi wa viatarishi vya maendeleo.
  • Kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu  na wadau wengine wa Takwimu ili kuboresha ukweli na uhalisia .
  • Kuratibu uibuaji wa miradi ya jamii (CLs)  kwa kuzingatia fursa na  vikwazo (O and OD) na kuunganisha taarifa.
  • Kuratibu maandalizi ya mipango ya Idara zote  na bajeti kwa kutumia mfumo  "Web based  planrep" software.
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kila robo ya mwaka.
  • Kuanisha  na kuonesha  fursa , vyanzo vipya   vya mapato na uwekezaji  .
  • .Kuandaa  taarifa ya kamati ya Bunge ya  hesabu za  serikali za Mitaa (LAAC)
  • kuratibu  shughuli za kijamii za kujikwamua  kiuchumi zinazofanywa na  vikundi  vya  vijana na wanawake.
  • Kuwaunganisha wadau wa maendeleo (NGO’s na CBO’s) waliopo Halmashauri ya wilaya ya Mbeya pamoja na kufuatilia utendaji kazi na taarifa
  • Kuandaa taarifa ya utekelezaji  wa  (ILANI ) ya Chama Cha  Mapinduzi   (CCM).
  • Kufanya upembuzi  yakinifu wa miradi itakayotekelezwa  kwa jamii  ,kuanisha na kuendeleza maandiko ya miradi ya halmashauri kuwekeza kwa mstakabali/muktadha wa muendelezo wa mapato na utoaji wa huduma za jamii.
  • Kufanya tathimini ya athari za kimazingira (kabla ya utekelezaji ,wakati  wa utekelezaji  na baada ya utekelezaji  wa miradi  ya maendeleo).
  • kuandaa taarifa ya utekelezaji  wa miradi ya robo mwaka (CDR).
  • Kuainisha fursa za uwekezaji na kutoa msaada wa kimaendeleo.
  • kutambua  wadau wa maendeleo  wanaotoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi.

 

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.