• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

DC ITUNDA AWAAGIZA WEOs NA VEOs KUSIMAMIA MPANGO WA CHAKULA SHULENI

Imewekwa: February 10th, 2026

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Mhe. Solomon Itunda, amewataka Watendaji wa Serikali hususani Watendaji wa Kata (WEOs) na Vijiji (VEOs) kushirikiana kikamilifu katika kusimamia utekelezaji wa Mpango wa Chakula Shuleni ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC).

Mhe. Itunda ametoa agizo hilo leo wakati wa kufunga Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Halmashauri ya Wilaya (DCC), kilichoketi kujadili na kupitisha Rasimu ya Mapendekezo ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.

Katika Rasimu ya Bajeti hiyo, Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imepanga kukusanya na kutumia jumla ya shilingi bilioni 72.4 kutoka vyanzo mbalimbali, ikiwemo mapato ya ndani na ruzuku ya Serikali kwa ajili ya kugharamia mishahara, matumizi ya kawaida (OC), miradi ya maendeleo, pamoja na vyanzo fungiwa kama 'CHF', 'User Fee', 'NHIF' na Michango ya Jamii.

Sambamba na hilo, Mhe. Itunda amesisitiza umuhimu wa kuwashirikisha wazazi kikamilifu ili wachangie Mpango wa Chakula Shuleni. Hatua hiyo inalenga kuboresha afya za wanafunzi na kuongeza ufanisi wao katika kujifunza, hususani wakati wa masomo ya mchana.

“Tayari tumefikia asilimia 89 ya utekelezaji wa Mpango wa Chakula Shuleni. Nasisitiza Watendaji wa Kata na Vijiji, kwa kushirikiana na Madiwani, muendelee kusimamia jambo hili kwa umakini. Pia naelekeza wazazi wachangie chakula shuleni. Kama mzazi anaweza kumudu chakula cha mtoto wake nyumbani, kwa nini ishindikane shuleni? Sehemu ya chakula anachokula mtoto nyumbani, mzazi aichangie shuleni. Hatuhitaji fedha; tunahitaji chakula,” ameeleza Mhe. Itunda.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MBEYA DC YASISITIZA MATUMIZI SAHIHI MIKOPO YA ASILIMIA 10

    February 11, 2026
  • RPC MBEYA AMKABIDHI CHETI CHA SHUKRANI MKURUGENZI MTENDAJI MBEYA DC

    February 11, 2026
  • DC ITUNDA AWAAGIZA WEOs NA VEOs KUSIMAMIA MPANGO WA CHAKULA SHULENI

    February 10, 2026
  • DED YEGELLA: FEDHA ZA NDANI KUNUFAISHA KATA ZOTE MBEYA DC

    February 10, 2026
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.