• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

HALMASHAURI SIMAMIENI UPANDAJI MITI - JAFO

Imewekwa: September 28th, 2022

Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mungano na Mazingira Mhe. Dkt. Seleman Jafo amezitaka halmashuari nchini kujikita katika upandaji miti ili ziweze kuingiza mapato kupitia hewa ya ukaa ambayo inatajwa kuweza kuleta tija katika baadhi ya halmashauri nchini.

Akizungumza wakati wa hafla fupi kukabidhi vifaa vya mradi wa ureshwaji endelevu wa mazingira katika mabonde ya mto Rukwa na Ruaha,Waziri Jafo amesema biashara ya hewa ya ukaa ikitiliwa mkazo na halmashauri inaweza ikasaidia katika ongezeko la ukusanyaji wa mapato.

Ni hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya utekelezaji wa mradi wa urejeshwaji endelevu wa mazingira ikojolojia katika mabonde ya Ruaha na Ziwa Rukwa,hafla hiyo  ilienda sambamba na shughuli ya upandaji wa miti katika hosptali ya wilaya ya Mbeya.

Waziri wa ofisi ya makamu wa Rais,Mungano na Mazingira  Suleman Jafo anasema mabariko ya tabia ya nchi yamepelekea ukame na uhaba wa mvua  kwa baadhi ya mikoa nchini.

Mratibu wa mradi  huo Dkt Damas Mapunda anasema  mradi huo unatekelezwa katika halmashauri saba za mikoa ya Mbeya,Njombe,Rukwa,Iringa na Katavi.

Matangazo

  • TANGAZO: KUMBUKUMBU YA MIAKA 23 YA KIFO CHA BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE October 10, 2022
  • WANANCHI MNAKUMBUSHWA KULIPA TOZO NA KODI ZA HALMASHAURI October 20, 2022
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • Mamlaka ya dawa na vifaa tiba (TMDA) yasisitiza umakini katika matumizi sahihi ya dawa

    October 14, 2022
  • HALMASHAURI SIMAMIENI UPANDAJI MITI - JAFO

    September 28, 2022
  • BILION 4.3 KUKUSANYWA KUTOKA KATIKA VYANZO VYA NDANI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023

    February 11, 2022
  • BILIONI 3.51 ZA TUA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA

    October 15, 2021
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.