• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA YAPEWA HEKO

Imewekwa: August 20th, 2018

HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA YAPEWA HEKO

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Albert Chalamila ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya kwa kukusanya zaidi ya asilimia 90 ya mapato yake ya ndani kwa mwaka wa fedha 2017/2018.

Chalamila ametoa pongezi hizo wakati wa ufunguzi wa kikao cha baraza la madiwani cha kujadili majibu ya hoja na mapendekezo ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wahesabu za serikali (CAG) kwa mwaka 2016/2017 kilichofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya wilayaya MbeyaAgosti 17,2018.

Chalamila amesema kuwa Katika mwaka wa Fedha  2017/2018 Halmashauri ilikadiriwa kukusanya Sh. 2,867,013,000.00 na hadikufikia Juni 30, 2018 imekusanya  Sh. 2,608,881,329.00   sawa na asilimia  91.00  ya lengo la mwaka na hivyo kushika nafasi ya kwanza kimkoa.

“Nawapongeza sana kwa kushika nafasi ya kwanza Mwaka 2017/2018, na nawapongeza pia kwa jitihada mlizofanya mpaka kufikia asilimia kubwa ya lengo lililo wekwa kwani kwa Miaka sita (6) mfululizo makusanyo yenu ya Mapato ya ndani yamekuwa  yakivuka  malengo ya Makadirio au  yamekuwa zaidi ya kiwango cha   kilichowekwa Kitaifa cha  asilimia 80. Naendelea kuwapongeza sana,”Chalamila.

Halmashauri imekuwa ikifanya vizuri katika miaka sita mfululizo  kutokana na malengo na mikakati iliyojiwekea ya kuhakikiha kila mtumishi anashiriki katika zoezi la ukusanyaji wa mapato wakiwemo wakuu wa Idara.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.