• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

HATUTOFANYA MZAHA KWA KIONGOZI AU MWANANCHI ATAKAEBAINIKA KUSHIRIKI UHARIBIFU WA MISITUNA VYANZO VYA MAJI- DC MALISA

Imewekwa: February 5th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe . Beno Malisa akimuawakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera kwenye siku ya upandaji miti amewataka mamlaka husika kuwachukulia hatua viongozi na wote watakaojihusisha na uharibifu wa Misitu na vyanzo vya maji Mkoani Mbeya ameyasema hay oleo kwenye hafla ya uzinduzi wa upandaji miti ilofanyika kimkoa Kijiji cha Iwala kata ya Utengule Usongwe ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya.

Mhe Beno ameyaeleza haya mara baada ya zoezi la upandaji miti katika eneo la shule ya Sekondari Rohila iliopo katika Kijiji cha Iwala ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya.

Akitoa agizo hilo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Mhe Malisa ameendelea kuwasisitiza Wakurugenzi na Madiwani Mkoani Mbeya Kwenda kusimamia sheria zilizopo za uhifadhi wa Misitu na Mazingira ili kukomesha vitendo vya uvamizi katika maeneo hayo tengefu.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya ndugu Stephen E. Katemba amesema kuwa Halmashauri itaendelea kupanda miti  zaidi itasaidia kutunza mazingira na kuingiza kipato kinachotokana na miti miti hiyo ambapo takribani  milioni 420 imekusanywa kutokana na mazao yatokanayo na miti hii ni kwa kushirikiana na TFS.

Kwa upande wake Meneja wa TFS ksanda ya Nyanda za Juu Kusini ndugu Cosmas Ndakidemi amesema kwa mwaka huu miti itatolewa hivyo wito kwa wananchi wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kujitokeza kuchukuwa miche na kupanda kwa kipindi hiki cha mvua.  

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.