• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Kamati ya ujenzi wa vituo vya afya yawakosha wajumbe wa kamati ya fedha

Imewekwa: August 10th, 2018

Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri wa Wilaya ya Mbeya imeridhishwa na ujenzi wa vituo vya afya vinavyo jegwa kwa udhamini wa mfuko wa Serikali.

Pongezi hizo zimetolewa  wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo iliyotekelezwa kwa mwaka wa fedha wa 2017/2018

Baadhi ya miradi iliyotembelewa na kamati hiyo ni pamoja na vituo vya afya vitatu vilivyopewa  kiasi cha shilingi bilioni 1.7 fedha toka  serikali kuu ya Jamhuri ya Muungno wa Tanzania, vituo hivyo ni;  kituo cha Ikukwa kilichopewa  shilingi milioni 800, Ilembo milioni 400  na Santilya milioni 500.

 Aidha kamati imeiagiza  timu ya wataalamu kuhakikisha inabani kazi zilizobaki pamoja na gharama zake na kuiwasilisha halmashauri kwa ajili ya ukamilishaji wa ujenzi wa vituo hivyo.

Mbali na miradi ya ujenzi wa vituo vya afya, miradi mingine iliyokaguliwa na kamati hiyo ni pamoja na; ujenzi wa madarasa mawili katika shule msingi Italazya iliyopewa kiasi cha shilingi 3,020,000/=, ujenzi wa madarasa shule ya sekondari Ilembo iliyopewa  5,000,000/= pamoja na zahanati ya kijiji cha Usoha Muungano ambayo ilipewa  kiasi cha shilingi 5,000,000/=.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MIKOPO SIO ZAWADI, NI YA MAENDELEO.

    July 03, 2025
  • DC MBEYA AFUATILIA AGIZO LA RC HOMERA UJENZI WA BARABARA YA MCHEPUKO IWAMBI MBALIZI, ARIDHISHWA NA KASI YAKE.

    June 10, 2025
  • Tuheshimu Sheria na taratibu zilizowekwa na Serikali- DED Erica..

    June 06, 2025
  • MbeyaDc yaadhimisha siku ya Mazingira Duniani kwa kufanya usafi katika Mto Mbalizi

    June 05, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.