• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MADIWANI WAWEZESHA WASICHANA GALIJEMBE

Imewekwa: July 15th, 2021

Waheshimiwa madiwan  na Mkuu wa wilaya ya Mbeya  wamekabizi rimu na taulo za kike(Pedi) kwa watoto wa kike wa shule ya sekondari ya wasichana Galijembe kwa lengo la kuboresha  mazingira ya kujifunzia.

Akiongea na wazazi na wanafunzi wakati wa kukabidhi vifaa hivyo mkuu wa wilaya ya Mbeya Mhe.DKT. Radhid Chuachua amewataka wazazi na walezi kuhakikisha wanatoa mchango wa chakula cha wanafunzi.

“sitegemei kusikia mzazi  analalamika kuwa  hana chakula ni aibu,chakula kinacholetwa shuleni ni kile ambacho mtoto angetumia akiwa nyumbani akiwa huko usingemshindisha na njaa. kama hutaki unataka wazazi wezako wakusaidie kulea mwanao mimi kama mkuu wa wilaya sitegemei kusikia hilo.” Rashid Chuachua.

Akitoa taarifa ya shule  naye Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya Ndg Stephen E. Katemba amesema kuwa shule  imejegwa kwa nguvu za wananchi, mapato ya ndani ya Halmashauri na serikali kuu,

“shule hii imeanza mchakato wa kujegwa mwaka 2007 kwa  jitiada za wananchi wazawa wa Galijembe  walianza na majengo matatu lengo likiwa ni kuwa na shule maalum eneo huku likiwa limetolewa  na machifu  ujemzi wake ulianza  rasmi mwaka 2018 kwa michango ya  fedha toka serikali kuu,  mapato ya ndani ya halmashauri na nguvu za wananchi mpaka sasa shule inaendeshwa kwa mfumo wa hosteli wazazi wanachangia chakula”Katemba.

Mwenyeti wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya Mwalingo kisema amebaini  lengo la kuleta vifaa hivyo kuwa ni  kuboresha  mazingira ya kusomea kama madiwani tuliona tujichangishe na kutoa chochote ilituweze kupata rimu na taulo za kike(PEDI) kwa ajili ya mabinti zetu.

“Mimi niliwahi kutembelea hapa nikakuta watoto wetu wanachangamoto za karatasi za kudurufia  baada ya kupewa mashine ya kunakili nakala na mbunge wetu.” Mwalingo

Waheshimiwa madiwani waliwawezesha watoto hao wa kike box nne za taulo za kike na sita za rimu.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.