• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MBEYA DC YAPOKEA VIFAA KUWEZESHA MASIJALA MTANDAONI

Imewekwa: February 3rd, 2026

MBEYA DC YAPOKEA VIFAA KUWEZESHA MASIJALA MTANDAONI


Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imekabidhi vifaa vya kielektroniki, ikiwemo kompyuta tano (5) za kisasa za mezani pamoja na printa tano (5), kwa ajili ya kuimarisha utekelezaji wa mfumo wa masijala mtandaoni (e-Registry).


Hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa kuendeleza utekelezaji wa shughuli za Serikali mtandaoni (e-Government) katika halmashauri hiyo.


Hafla ya makabidhiano ya vifaa hivyo imefanyika leo, tarehe 03 Februari 2026, wakati wa ufunguzi wa kikao cha pili cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, inayoundwa na kata zipatazo 28.


Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Bi. Erica Yegella, amesema kuwa ununuzi wa vifaa hivyo umegharimu jumla ya shilingi milioni 24.


Ameeleza kuwa vifaa hivyo vina umuhimu mkubwa katika kuboresha utekelezaji wa majukumu ya Serikali kwa njia ya mtandao, sambamba na kupunguza matumizi ya karatasi, hatua itakayochangia uhifadhi wa mazingira.


Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Bi. Aidda Clemence Haule, amemshukuru Mkurugenzi Mtendaji kwa kusimamia kwa ufanisi manunuzi ya vifaa hivyo, akibainisha kuwa vitasaidia kuongeza tija na ufanisi wa utendaji kazi wa shughuli za Serikali mtandaoni, ikilinganishwa na mfumo wa awali uliotegemea zaidi matumizi ya karatasi.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DC ITUNDA AHIMIZA KUSIMAMIA MAPATO KWA MAENDELEO

    February 03, 2026
  • MBEYA DC YAPOKEA VIFAA KUWEZESHA MASIJALA MTANDAONI

    February 03, 2026
  • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango Yakamilisha Ziara ya Ukaguzi.

    January 21, 2026
  • MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 800 YAKAGULIWA NA FUM

    January 20, 2026
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.