• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MBEYA DC YASISITIZA MATUMIZI SAHIHI MIKOPO YA ASILIMIA 10

Imewekwa: February 11th, 2026

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Bi. Erica Yegella ameyataka makundi maalum ya vijana na wanawake yaliyonufaika na mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri kuhakikisha fedha walizopata zinatumika kwa malengo yaliyokusudiwa, na si vinginevyo.

Mkurugenzi amesisitiza makundi nufaika kuwa mabalozi wazuri katika maeneo yao kwa kuonesha kwa vitendo namna Serikali ya Awamu ya Sita inavyowawezesha vijana, wanawake pamoja na watu wenye ulemavu kiuchumi.

“Msije mkafanya sherehe zisizo na tija kwa sababu mmeona mmepata fedha nyingi. Pelekeni fedha hizo kwenye biashara, mifugo na kilimo. Simamieni malengo mliyopanga ili baadaye tuone matunda ya mikopo mliyoipata. Hatutaki muishie kukopa milioni 50 tu; tunataka baadaye mfikie hata milioni 200,” amesisitiza Mkurugenzi Mtendaji huyo.

Hayo yamejiri leo wakati wa mafunzo kwa vikundi saba (7) vilivyonufaisha makundi ya vijana kwa kiasi kikubwa na wanawake, hatua inayoonesha dhamira ya Serikali katika kuimarisha uchumi wa wananchi kupitia uwezeshaji wa makundi maalum na kukuza sekta ya uzalishaji katika ngazi ya halmashauri.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MBEYA DC YASISITIZA MATUMIZI SAHIHI MIKOPO YA ASILIMIA 10

    February 11, 2026
  • RPC MBEYA AMKABIDHI CHETI CHA SHUKRANI MKURUGENZI MTENDAJI MBEYA DC

    February 11, 2026
  • DC ITUNDA AWAAGIZA WEOs NA VEOs KUSIMAMIA MPANGO WA CHAKULA SHULENI

    February 10, 2026
  • DED YEGELLA: FEDHA ZA NDANI KUNUFAISHA KATA ZOTE MBEYA DC

    February 10, 2026
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.