• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MIL. 10 ZALIPIA BIMA ZA WANAKIJIJI CHA MASHESE

Imewekwa: January 20th, 2025

Serikali ya kijiji cha Mashese kata ya Ilungu Halmashauri ya Wilayani Mbeya, imewalipia bima za afya wananchi wake zaidi ya 1500 kwa gharama ya million kumi ili kuwa na uhakika wa huduma za kiafya na kujenga jamii imara.


Akizungumza na kituo hiki katika Zahanati ya Ilungu kijijini hapo, mwenyekiti wa kijiji cha Mashese Osia Mwakalila amesema kusudi la Serikali yake ya kijiji ni kuona inatoa bima za afya kwa watu elfu mbili wa kijiji hicho hata waishio nje ya kijiji kwa shughuli mbalimbali ikiwemo wanafunzi.


"Serikali ya kijiji (Mashese) tulipokaa tukaangalia kutokana na vyanzo vyetu vya mapato ya kijiji tukaamua kuwakatia bima za afya wananchi na lengo letu ni wananchi wote wapate bima kwasababu wengi hawana kipato tukitembelea wananchi huko tukaona wanaumwa halafu hawana hela. Tunachoomba Serikali na wadau watusaidie vifaa vya maabara kuja hapa Zahanati ya Ilungu na pia wadau wakiwemo waliotoka hapa Mashese tunatamani hili liwe endelevu", amesema mwenyekiti wa Serikali ya kijiji cha Mashese kata ya Ilungu.


Kwa upande wake mganga mfawidhi wa Zahanati ya Ilungu amesema bima ya CHF iliyokatwa kwa ajili ya wananchi hao ni kwa familia au kikundi cha watu sita kwa shilingi elfu thelathini akisema ni hatua muhimu katika kuhakikisha jamii inakuwa na watu wenye afya imara huku akiwatoa hofu wananchi wanaodhani wenye bima hawathaminiwi wanapokwenda hospitalini.


Mratibu wa bima ya CHF wilaya ya Mbeya Francisco Nguvila, amesema kilichofanywa na Serikali ya kijiji cha Mashese kuwakatia bima wananchi wake ni kitendo cha kuigwa na maeneo mengine katika kuhakikisha jamii inakuwa na afya imara na kuchochea maendeleo ya Taifa.


Wananchi waliofikiwa na huduma hiyo wameishukuru Serikali yao kwa mpango huo ambao umetekelezwa kupitia raslimali za kijiji kuona zinarudi kwao (wananchi) kwa njia nyinginezo ikiwemo kujali afya za wananchi wake.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.