• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Amos Makalla amewataka Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya kuongeza nguvu katika kuwasimamia watendaji wake

Imewekwa: August 29th, 2017

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Amos Makalla amewataka waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya kutumia madaraka waliyopewa kisheria kwa kuwasimamia ipasavyo wataalamu wakati wa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Mhe. Makalla ametoa kauli hiyo wakati wa Mkutano  Maalum wa Halmashauri kwa ajili ya kupitia hoja za Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).

Wakati akitoa kauli hiyo Mhe. Makalla amesema katika mwaka wa fedha wa 2014/2015  Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya ilipata hati yenye mashaka. Alisema tafsili ya kupata hati yenye mashaka kwa wananchi ni kamba katika Halmashauri kuna wizi jambo linalosababisha wananchi kukosa imani na Serikali yao. Sasa ili kuondokana na jambo hilo ni vyema waheshimiwa madiwani waongeza nguvu katika kusimamia miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri hiyo.

Pia Mhe. Makalla amewataka wataalamu kuongeza ufanisi katika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kufuata Sheria na Taratibu za matumizi ya fedha za Umma.

“Ni lazima wataalamu wawe makini kwa kufuata sheria wakati wa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo, hatutaki wataalamu wanaozalisha hoja bali tunataka wataalamu wanaoepuka hoja kwa kufuata Sheria na Kanuni za matumizi ya fedha za Umma” Amesema.

Mhe. Makalla pia amesisitizia suala la umoja kati ya Waheshimiwa Madiwani na Wataalamu kama suala muhimu la kufikia tija ya kuwaletea maendeleo wananchi. Amesema wananchi hawataki kuona malumbano bali wanataka kuona Halmashauri yao inapiga hatua katika maendeleo. Amesema kama kunasuala lolote limetokea ni vyema kuomba ushauri kwa viongozi wa Serikali waliopo kuanzia Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Mhe. Mkuu wa Mkoa.

“Naishauri Halmashauri yenu kuwa na umoja kati yenu na watendaji, kati yenu wenyewe  waheshimiwa madiwani na uongozi wa serikali, yupo Mkuu wa Wilaya yupo Mkuu wa Mkoa. Kwa hali iliyopo sasa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya  msipo chukua hatua bado kuna mapungufu mengi kazi yangu kwawaambia na mimi napenda kuwaambia ukweli …kwa sababu mimi ndio msimamizi wa kwanza na kiongozi wa shughuli zote katika mkoa huu na mlezi na msimamizi wa serikali za mitaa ndio maana nipo hapa.”

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.