• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Mhe. Paul Ntinika amekabidhi vitanda 32 kwa shule ya Sekondari Ilembo

Imewekwa: September 4th, 2017

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe. Paul Ntinika amekabidhi vitanda 31 venye uwezo wa kuchukua wanafunzi 62 kwa shule ya Sekondari Ilembo kwa ajili ya mabweni ya wasichana. Shule ya Sekondari Ilmbo iletegemewa kuanza kidato cha tano kwa mwaka 2016 lakini lengo hilo lilishindwa kufikiwa kutokana na kutokamilika kwa baadhi ya miundombinu ikiwemo mabweni pamoja na ukosefu wa vitanda.

Akikabidhi vitanda hivyo 31 venye thamani ya Tsh Mil 5,593,751.80/= Mhe. Ntinika amesema Shule ya Sekondari Ilembo inamahitaji ya vitanda 92 kwa ajili ya kuchukua wananfunzi wa kidato cha tano, lakini vilivyopo  ni vitanda 71 na hivyo kufanya upungufu kuwa vitanda 21. Amesema kati ya Vitanda hivyo 71 vilivyopo sasa vitanda 40 vimetegenezwa kwa nguvu za wananchi na vitanda 31 alivyovikabidhi kwa Mkuu wa Shule vimetolewa na Taasisi ya Kimarekani isiyo ya Kiserikali ya Mery Ryan Foundation inayofanya kazi ya kusaidia watoto yatima katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya.

Mhe. Ntinika ameipongeza  Taasisi ya Mery Ryan Foundation kuwa imetekeleza kwa vitendo kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli ya HAPA KAZI TU, kwa kuchangia maendeleo ya kijamii. Amesema huo ni mfano wa kuigwa, hivyo wananchi wa kata ya Ilembo waongeza kasi ya kuchangia maendeleo ili vitanda viweze kupatina na kidato cha tano kifunguliwe katika shule hiyo ifikapo Juni 2018.

“Ndugu zetu ambao wametoa msaada huu, imekua chachu kwa wananchi wa Ilembo kuwa tayari nao kuchangia. Tunaposema HAPA NI KAZI TU wenzetu wametimiza azma ya Mhe. Rais wetu wa Tanzania Mhe. Dokta John Pombe Magufuli kwamba sisi awamu hii ya tano HAPA NI KAZI TU. Sasa tunatoa wito kwa wananchi wa Ilembo kwamba kwa muda huu uliobaki waendelee kuongeza kasi ya kuhakikisha kwamba vile vitanda ambavyo bado havijatengenezwa vinakamilika”

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeye, Ndg. Amelchiory Kulwizila amesema Halmashauri yake itaendelea kushirikiana na wananchi kukamilisha miundombinu mbalimbali inayohitajika katika shule hiyo ili kidato cha tano kianze kama walivyofanya kwenye ujenzi wa mabweni ambao unaendelea kukamilishwa. 

“Kwa upungufu uliopo wa vitanda 21 hiyo kwangu mimi ni changamoto ambayo nitakabiliana nayo. Nitatakiwa mimi nimalizie hivyo vitanda. Ila kwa kufuatana na hali kwa sababu Halmashauri kama unavyoona imeshaingia pale kwa kushirikiana na wananchi katika ujenzi wa yale mabweni ya watoto. Kwa hiyo tutaendelea kushirikiana kuhakikisha kwamba mwakani lazima watoto wasome”

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.