• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MWENYEKITI MBEYA DC AKABIDHI VISHIKWAMBI 44 KWA MADIWANI KUIMARISHA UFANISI WA KAZI

Imewekwa: February 13th, 2026

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC), Mheshimiwa Aidda Haule, leo amekabidhi vishikwambi 44 vyenye thamani ya shilingi milioni 26.4 kwa madiwani wa halmashauri hiyo, kama sehemu ya vitendea kazi vitakavyotumika katika shughuli za Baraza la Madiwani.

Ugawaji wa vishikwambi hivyo umefanyika wakati wa Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya liliketi kujadili na kupitisha Rasimu ya Mapendekezo ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027. Hatua hiyo imefuatia Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) kilichofanyika Februari 10, 2026, ambacho kilijadili na kupitisha rasimu hiyo kabla ya kuwasilishwa katika Baraza la Madiwani.

Akizungumza katika kikao hicho, Mhe. Haule amesema kuwa, lengo la kugawa vishikwambi hivyo ni kupunguza matumizi ya karatasi na kuimarisha matumizi ya mifumo ya kielektroniki katika kuandaa, kuhifadhi na kutumia taarifa za vikao. Ameeleza kuwa matumizi ya teknolojia yataongeza ufanisi, wepesi na usalama wa taarifa muhimu za Halmashauri.

Aidha, amesisitiza kuwa nyaraka zitakazohifadhiwa katika vishikwambi hivyo ni taarifa muhimu na za siri, zinazolindwa kwa mujibu wa sheria na kanuni za utumishi wa umma. Ameonya kuwa ni kosa kubwa kwa mtu yeyote kusambaza taarifa hizo kabla hazijajadiliwa, kupitishwa na kuazimiwa rasmi na Baraza la Madiwani kuwa za wazi kwa umma.

“Nyaraka zitakazowekwa katika kishikwambi hicho ni siri. Hupaswi kumweleza hata mwenza wako. Wewe ni mtumishi wa umma, umekula kiapo cha utumishi wa umma; hivyo, ni wajibu wako kuishi kwa kuzingatia kiapo hicho katika kipindi chote cha utumishi wako,” amesisitiza Mheshimiwa Haule.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MBEYA DC YASAJILI 483 BIMA YA AFYA KWA WOTE

    February 13, 2026
  • MWENYEKITI MBEYA DC AKABIDHI VISHIKWAMBI 44 KWA MADIWANI KUIMARISHA UFANISI WA KAZI

    February 13, 2026
  • MKURUGENZI, WATENDAJI VIJIJI MBEYA DC WAJADILI MIKAKATI KUHARAKISHA MAENDELEO

    February 12, 2026
  • MBEYA DC YASISITIZA MATUMIZI SAHIHI MIKOPO YA ASILIMIA 10

    February 11, 2026
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.