• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

NIDHAMU,UADILIFU CHANZO CHA MAFANIKIO HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA

Imewekwa: August 27th, 2018

“Mafanikio haya nikwasababu ya uadilifu na usikivu mlio kuwa nao katika kipindi chote ambacho nilikuwa kiongozi wenu, ikapelekea tuwe vinara katika Nyanja mbalimbali ikiwemo ukusanyaji wa mapato pamoja na mbio za mwenge wa uhuru”amezungumza  Amelchiory Kulwizila aliye kuwa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya kwa muda wa miaka miwili , 2016-2018.

Kulwizila  ametoa kauli hiyo wakati wa makabidhiano ya ofisi na mkurugenzi mtendaji mpya Stephe E.Katemba yaliyofanyika  katika ukumbi wa halmashauri Agosti 23/ 2018.

 Agosti 14, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alifanya uteuzi wa wakurugenzi wapya pamoja na kuwabadilisha wengine katika vituo vyao vya kazi ambapo Katemba alihamishwa kutoka Manispaa ya Kigamboni kwenda Halmashauri ya wilaya ya Mbeya.

Aidha Kulwizila amewataka watumishi wa Halmashauri hususani wakuu wa Idara naVitengo kuendeleza kalba yao ya kutoa ushirikiano kwa mkurugenzi mtendaji mpya ilikuweza kufikia dhamira na dira ya halmashauri.

Naye mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mbeya Stephen  E. Katemba aliyekuwa anakabidhiwa kijiti amemwakikishia Kulwizila kuwa atahakikisha anatimiza ndoto alizo kusudia katika kuendeleza maendeleo ya Halmashauri na kuwataka watumishi wote kuhakikisha kila mmoja anaonyesha umuhimu wake katika utendaji kazi ili kila mmoja amuone yeye wamuhimu kuliko mwezake kwani kwake kukua katika utendaji kazi ni kigezo  kimojawapo kitakacho mpandisha nayeye.

“ Kwangu mtu anayetaka kukua napenda akue kwani naamini wao wakikua na mimi watanipandisha kwani ndoto yangu nikuwa zaidiya hapa”Katemba.

Vitu walivyokabidhiana katika tafrija hiyo ni  pamoja na orodha ya wakuu wa idara na vitengo, idadi ya madiwani,hali halisi ya ujenzi wa vituo vya afya, kesi zilizoko mahakamani pamoja na cheti cha makabidhiano.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.