• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

RAS MPOGOLO AMEFANYA KIKAO NA WAFANYAKAZI NGAZI YA KATA-MBEYADC.

Imewekwa: November 2nd, 2023

Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya ndugu Lodric Lazaro Mpogolo  amefanya kikao leo tarehe 2 Novemba 2023 na wafanyakazi wote wa ngazi ya kata ya Nsalala, Utengule Usongwe na bonde la Usongwe  wa halmashauri ya Wilaya ya Mbeya.

Mpogolo  amefurahishwa na muitikio wa wafanyakazi kujitokeza kwa wingi kuja kusikiliza na kutoa kero zao, “nimefurahi sana kuona wafanyakazi wengi kiasi hichi, nikili tu kuwa ndio mara yangu ya kwanza kukutana na wafanyakazi ngazi ya kata, na nimefurahi sana kuwaona wengi kiasi hichi” alisema Bombo

Aidha ameongeza kuwa kikubwa kilichopelekea kuitisha kikao hicho ni kukaa pamoja na wafanyakazi na kutatua changamoto walizonazo pia kushauriana namna bora ya kuendesha halmashauri yetu.

Katibu Tawala amewashukuru wafanyakazi kwa kazi nzuri wananzozifanya zinazoifanya Mbeya kuonekana moja ya mikoa mizuri inayotekeleza malengo ya Serikali vizuri na kwa ufanisi unaoonekana “Mkoa wetu unaendelea kufanya vizuri kila siku na hayo yanajidhihilisha katika martokeo mbalimbali ya mitihani, watumishi ninyi ndio injini ya Mkoa” aliongeza Mpogolo.

Aidha amemshukuru Mhe Rais kwa kazi kubwa ya maendeleo ambayo anaendelea kuifanya katika mkoa wetu kwa kujenga na kuboresha shule za Sekondari, Msingi, Zahanati na vituo vya afya, “ tumshukuru sana Rais mama yetu Mhe Dkt Samia S. Hassan kwa maendelea ambayo ameyaleta katika Mkoa wetu wa Mbeya” alisema Mpogolo.

Katibu tawala aliwatoa hofu wafanyakazi na kuwataka wawe huru kuelezea kero zao ili kuweza kutatuliwa kwa nia njema ya kujenga na kufanya kazi kwa bidi bila kumuangusha Rais wetu na Jemedari wetu, mama yetu, Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wafanyakazi walitoa maoni na changamoto zao katika idara mabalimbali ambazo Katibu Tawala alimuelekeza Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Mbeya kuzipatia ufumbuziwa haraka ili zisiathili utendaji kazi wa wafanyakazi.

Aidha wafanyakazi wamefurahi sana kwa kiongozi mkubwa kuhitaji kuzungumza nao na kutatua changamoto walizonazo.

 

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.