• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Shilingi 1,700,000,000/= zatumika kujenga vituo vya afya vitatu Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya

Imewekwa: June 8th, 2018

Timu ya ukaguzi wa ujenzi wa vituo vya afya kutoka Ofisi ya Rais- TAMISEMI imefurahishwa na kasi ya ujenzi wa vituo vya afya vitatu katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya. Juni 6 na Juni 7 timu imefanya ukaguzi katika vituo vya afya vya Ilembo, Santilya na Ikukwa.

Kiongozi wa timu hiyo, ambaye pia ni Naibu katibu Mkuu, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,  Ndg. Avemaria Semakafu  amewashukuru wananchi  kwa kujitolea nguvu zao katika ujenzi wa vituo hivyo hali inayopelekea ujenzi kwenda kwa kasi kubwa licha ya kukabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo umbali mrefu wa kufuata vifaa vya ujenzi.

“Kwa dhati  niwapongeze wananchi wote, hakika mmejitoa kikamilifu kuhakikisha vituo vya afya vinajengwa. Niwasihii msikate tamaa, muendelee na moyo huo huo wa kuinga Serikali mkono kwa vitendo. Ni kweli Serikali imeleta pesa katika miradi hii, lakini pesa peke yake isingetosha kujenga vituo hivi mpaka hatua hii mliyofikia”

Aidha Semakafu amewataka watumishi wa umma wanaosimamia miradi hiyo kufanya kazi kwa uadilifu kwa kufuata Sheria, Taratibu na Kanuni za matumizi ya fedha za umma.

Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imepata ruzuku ya shilingi 1,700,000,000 toka Serikali Kuu kwa ajili ya ujenzi na uboreshaji wa vituo vya afya vitatu,  ambapo Kituo cha afya Ikukwa kimepata shilingi 800,000,000/= Santilya shilingi 500,000,000/= na Ilembo shilingi 400,000,000/=  Fedha hizo zinatumika kujenga jengo la mama na mtoto, jengo la upasuaji, jengo la wagonjwa wa nje (OPD), jengo la kuhifadhia maiti, nyumba ya mtumishi, chumba cha kufulia nguo pamoja na sehemu ya kuchomea taka. Ujenzi wa vituo hivyo ulianza mwezi februari, 2018 na vinatarajiwa kukamilika ifikapo Julai 27, 2018.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.