• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

WANANCHI SHIRIKINI KATIKA UJENZI WA MIRADI YA MAENDELEO-SODA

Imewekwa: April 19th, 2021

Kamati ya Fedha, Uongozi na Utawala imewashauri  watalamu wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya kuhakikisha inakagua, kutembelea pamoja na kushauri kitaalamu miradi inayotekelezwa  kwa nguvu za wananchi iliiendane na ubora uliopangwa na serikali.

Kamati ilitoa ushauri huo  wakati wa ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo iliyotekelezwa katika kipindi cha robo ya tatu.

Mbali na ushauri huo pia kamati imewashauri wananchi  wa maeneo  mbalimbali kuendelea kuchagia katika miradi ya maendeleo pamoja na kuwashirikisha wadau mbalimbali na si  kuiachia serikali peke yake.

“Viongozi mna kazi kubwa ya kuhakikisha wananchi wanashiriki katika katika ujenzi wa miradi ya maendeleo, kwani wenye uhitaji ni sisi hatutegemei kuona nyie mpo nyuma katika kutekeleza miradi hii. Kila mmoja ana wajibu wa kuchagia na  kuona miradi inakamilika kwa wakati na kusimamia matumizi ya fedha zilizotolewa na serikali.”  Makamu mwenyekiti wa halmshauri Mh. Ezekia Soda Shitindi.

Katika ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo iliyotekelezwa  kwa kipindi cha  robo  ya tatu  kamati ya fedha, Uongozi na Utawala ilifanikiwa kutembelea miradi mbalimbali ikiwemo shule ya sekondari Juhudi na Songwe  kuona ununuzi wa madawati , kutembelea ukarabati wa bweni na ununuzi wa vitanda katika shule ya sekondari Iwindi, ujenzi vya vyoo katika shule ya Malama sekondari, kutembelea  shule ya msingi Kawetere, zahanati ya Idimi  pamoja na ujenzi wa njia za kuunganisha majengo na kichomea taka katika hospitali ya wilaya.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.