• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

WANANCHI WA ITETE WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KATIKA UJENZI WA MIRADI YA MAENDELEO

Imewekwa: January 6th, 2020

Wakazi wa kitongoji cha Itete kilichopo katika kijiji cha Iwanza kata ya Ihango halmashauri ya wilay ya Mbeya wametakiwakushirikiana na serikali katika ujenzi wa miradi ya maendeleo kwa lengo la kuboresha miundombinu iliyoko katika kijiji hicho.

wito huo umetolewa na kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya Ndg Gidion Mapunda wakati wa ziara ya kutembelea kitongoji hicho kwa lengo la kujua maisha wanayo ishi wananchi hao ilikuweza kubaini changamoto wanazo kumbana nazo.

Mapunda amesema kuwa kila mwananchi ajione  kuwa anajukumu la kuhakikisha ujenzi wa madarasa katika kituo hicho  unakamilika kwa wakati ilikuweza kunusuli hali iliyopo kwa sasa ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kufuata shule iliko.

Mbali na hayo mapunda ameutaka uongozi wa kitongoji cha Itete kuhakikisha wanasoma mapato na matumizi ya kitongoji hicho ilikutoa sitofahamu kwa wananchi wanao changia mapato hayo na kuendeleza dhana ya ukweli na uwazi pamoja na kutoa risiti kwa wananchi wote wanao toa michango husika.

 katika ziara hiyo  ya wakuu wa idara na vitengo halmashauri ya wilaya ya Mbeya walifanikiwa kutembelea pia  miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa katika kituo shikizi cha  Ipinda,Iwanza pamoja na ujenzi wa madarasa katika  shule ya sekondari  ya Utengule Usongwe.

Wananchi wa Itete ni jamii iliyojitenga na jamii nyingine ambayo inaishi umbali wa kilomita tano(5) kushuka chini kutoka kilipo kijiji cha Iwanza. Katika kitongoji hicho kunawanafunzi wanao kadiliwa kuwa ni 280 kuanzia awali mpaka la saba ambao baadhi yao hudumaza masomo wanazipata katika shule ya msingi Mbeya Peak.

Wakuu wa Idara halmashauri ya wilaya ya Mbeya wakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi Ndg Gidion Mapumba wakizungumza na wakazi wa kitongoji cha Itete kata ya Ihango .

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.