Imewekwa: July 4th, 2019
Mkurugenzi Mtendaji Halmshauri ya wilaya ya Mbeya Ndg. Stephen E. Katemba amewataka watumishi wa Hospitali teule ya Wilaya {Ifisi} kufanya kazi kwa bidii pamoja na kuwa na kauli nzuri kwa wananchi.
...
Imewekwa: June 26th, 2019
Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imetekeleza agizo la serikali la kutenga asilimia kumi kutoka kwenye mapato yake ya ndani kwa kutoa mikopo ya kiasi cha shilingi milioni 224,248,500/= kwa vikundi 14 vya...
Imewekwa: May 22nd, 2019
Afisa Elimu Msingi Halmashauri ya wilaya ya Mbeya ndugu Shirley Swai ameishukuru na kuipongeza serikali kwa harakati za kuazisha mpango wa elimu changamani kwa vijana wal...