Imewekwa: April 5th, 2020
“Kumbe vyanzovya ndanivikitumika vizuri vinaweza kuleta maendeleo nah ii tumeiona kupitia miradi hiituliyo tembelea iliyotekelezwa kupitia vyanzo vya mapato ya ndani” Mwalingo Kisemba mwenyekiti...
Imewekwa: March 18th, 2020
“Fedha hiziza mikopo zisiwapelekee mkaenda kupata Corona kwa kukumbatiana,kumbatiana na watu na badala yake fedha hizi zikatimize malengo mliyokusudia”. Stephen E.Katemba Mkurugenzi Mtendaji wa halmas...
Imewekwa: February 22nd, 2020
Viongozi na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya waikosha kamati ya CCM mkoa wa Mbeya kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo.
Hayo yamebainiwa wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua mi...