Imewekwa: January 15th, 2019
Mkurugenzi Mtendaji Halmshauri ya wilaya ya Mbeya Ndg. Stephen E. Katemba amewataka watumishi wa halmashauri kufanyakazi kwa bidii pamoja na kuwa na kauli nzuri kwa wananchi.
Katemba ameyasem...
Imewekwa: January 3rd, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Albert Chalamila amefurahishwa na juhudi za uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya kwa kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa kiwanda cha kuchakata nyama na mazao yake cha Uten...
Imewekwa: December 16th, 2018
Wakulima wa Kata ya Inyala Halmashauri ya wilaya ya Mbeya wametakiwa kujihadhari na wadudu waharibifu wa mazao aina ya viwavijeshi kwa kusafisha mashamba kutokana n...