• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Inyala kuunganisha Tanzania Malawi Zambia, Kongo kibiashara

Imewekwa: July 30th, 2018

Ujenzi wa bandari kavu Inyala, Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya umetajwa kuwa ni nguzo muhimu ya ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na nchi zinazopakana nazo upande wa nyanda za juu kusini ikiwemo Malawi.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Amos Makalla kwenye ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alipotembelea bandari ya Itugi katika ziwa Nyasa  kukagua ujenzi wa meli ya MV Mbeya II yenye uwezo wa kubeba abiria 200 na mzigo wa tani 200. Na kukagua meli mbili katika bandari ya Kiwira (MV Njombe na MV Ruvuma) zenye uwezo wa kubeba mzigo wa tani 1,000 kila moja.

Makalla amesema, kukamilika kwa meli hizo kumeongeza kasi ya kusafirisha mizigo toka Tanzania kwenda Malawi, lakini ujenzi wa bandari kavu Inyala ndio unategemewa kufanya mageuzi ya usafirishaji mizigo nchini kwa kupitia njia ya reli ya TAZARA ambayo gharama yake ni nafuu zaidi kuliko njia ya barabara kama inavyotumika hivi sasa.

"Mhe. Makamu wa Rais, ujenzi wa bandari kavu Inyala ni nguzo muhimu katika ukuaji wa kiuchumi wa mkoa wa Mbeya na taifa kwa ujumla, kwani itasaidia kusogeza Huduma za bandari toka Dar es salaam hadi Mbeya hali itakayowapunzia gharama za usafiri wateja wetu wa nchi za Malawi, Zambia na Kongo"

Aidha Makalla, amemuomba Makamu wa Rais kuihimiza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)  kuongeza kasi katika ujenzi wa bandari hiyo kwani uongozi wa mkoa kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya umetenga eneo la hekari 110 ambapo  TPA imeliridhia, na hatua za awali ya kulitwaa eneo zimekamilika, kinachosubiriwa sasa ni TPA  kulipa fidia na kuanza ujenzi.

 Kwa upande wake Makamu wa Rais, ameupongeza uongozi wa mkoa pamoja na halmashauri kwa kuanzisha mpango wa ujenzi wa bandari kavu Inyala kwani itaongeza mapato ya halmashauri na mkoa.

Pia Mhe. Samia amewataka wananchi wa mkoa wa Mbeya kufanya kazi kwa bidii na ubunifu wa kuzalisha mazao kwa viwango vya kimataifa ili kuweza kutumia bandari kavu tarajiwa ya Inyala pamoja na meli za mizigo zilizopo bandari ya Kiwira kusafirisha mazao yao nje ya nchi.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MBEYA DC YAWATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA MIKOPO YA ASILIMIA 10.

    August 02, 2025
  • DED MBEYA DC AKAGUA UJENZI WA BWENI SHULE YA USONGWE

    August 01, 2025
  • DED ERICA AWAITA WANANCHI MAONYESHO YA NANENANE BANDA LA MBEYA DC.

    August 01, 2025
  • DC ITUNDA AKAGUA MIRADI YA MWENGE MBEYADC

    July 26, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.