• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Vivutio vya utalii

VIVUTIO VYA UTALII VILIVYOPO HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA
Na. KIVUTIO CHA UTALII MAHALI KILIPO MMILIKI/ UTAWALA HALI YA MIUNDOMBINU HUDUMA ILIYOPO NAMNA YA KUFIKA MELEZO MENGINE
1 Ziwa Ngosi Msitu wa Mporoto kijiji cha Iwalanje Tanzania forest services (TFS) Barabara ya Iduda inapitika hadi katika mpaka wa msitu. Ni dakika 20 ukitembea kwa miguu toka eneo la mpaka wa msitu hadi kufika ziwani. Kuangalia ziwa ukiwa kwenye kingo za ziwa Njia ya kupita Iwalanje na njia ya kupita Iduda (eneo la jiji la mbeya) NJia ya Iwalanje ni KM 4 na njia ya Iduda ni KM 11 toka barabara ya lami TARURA wamefanya upembuzi yakinifu wa barabara ya Iwalanje Msitu wa Mporoto
2 View Poins (Maeneo ya Uono) Kawatele kwenye minara ya TBC na Radio Maria kijiji cha Ilowelo TANROADS Kunafikika vizur ibarabara ni ya lami mpaka eneo husika Kuangalia maeneo ya bonde la Usangu-Mbarali (Usangu plains) Barabara kuu ya mbeya- Chunya Halmashauri ipo kwenye matangazo ya kumpata mwekezajimwenza (mbia)
3 Kilele cha mlimaMbeya (Mbeya peak) KipoIwanzakupitiaMwaboho  TFS  Hali ya barabarasinzuri, wakati wa masikainapitika kwa tabu kuangalia Uwanja wa ndege wa songwe, Ziwa rukwa, Jiji la mbeya na Baadhi ya maeneo ya chunya Barabara ya lamitokaMbeyamjini hadi Kawatire kasha barabara ya vumbi hadi kijiji cha Iwanza TARURA wamewekakwenyempangokutengenezabarabarambadala ya IkukwaKawatere-mailitano-Idimi-Ipomu-Mwabowo-Iwanza
4 Eneo lllililo juu katika barabara zote nchini Kijiji cha Ipinda katia ya Ihango  TANROADS kunafikika vizuri barabara ni ya lami hadi eneo husika kuona eleo lililo juu kabisa kwa barabara zote nchini Barabara kuu ya mbeya- Chunya kujenga vibanda na migahawa ya kupumzika wakati wa kuangalia bonde la usangu
5 ukuta wa chifu Merere (Ngome ya Chifu Merere) Kitongoji cha Utengule kata ya Utengule Usongwe Mamlaka ya mji mdogo Mbalizi Barabara inafikika kwa urahisi hadi eneo la ukuta kuona na kupata historia ya chifu merere Barabara ya Mbaliz-Makongolosi eneo la ukuta liezekwe kwa nyasi ili kutunza uhalisia wake
6 Daraja la Mungu Kijiji cha Izumbe kata ya Igale Kijiji cha Izumbwe Barabara inafikika kwa urahisi hadi eneo la daraja kuona maajabu ya daraja la asili  Barabara ya Vumbi toka Mbalisi kuelekea kijiji cha Wimba eneo hili linatakiwa kuendelezwa na kutangazwa ili kuvutia watalii
7 Maeneo ya kuweka kambiya kitalii(Camping site) Eneo la msitu wa hifadhi Ilungu Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya barabara inapitika maeneo ya kuweka kambi Njia ya barabara ya lami toka Mbeya hadi Isyonje kisha barabara ya vumbi Isyonje-Kikondo au barabara ya lami Mbeya-Mswiswi kisha barabara ya vumbi Mswiswi-Ifupa Msitu wa Ilungu una mandhari nzuri inayowavutia watalii kupumzika wakati wa kwenda na kurudi Kitulo
8 Shimoni  Kijiji cha Nsongwi juu kata ya Ijombe Kijiji cha Ijombe barabara inahitaji matengenezo kuangalia muenekano wa jiji la Mbeya kwa juu Barabara ya Uyole-Nsongwi Juu eneo hili linatakiwa kuendelezwa kwa kutengenezwa kumbi za mikutano,hoteli za kitalii, viwanja vya michezo, migahawa na bustani
9 Bustani ya wanyama pori Ifisi Kijiji cha Ikumbi kata ya Songwe Kanisa la Uinjilist Lehner kunafikika vizuri barabara ni ya lami hadi eneo husika kuona wanyama wa polini waliofugwa Barabara kuu Mbeya-Tunduma
10 Maji moto Kijiji cha Ilota kata ya Mshewe Kanisa la Uinjilist Lehner barabara inahitaji matengenezo kuoga na kunawa maji moto asillia pamoja na kupata tiba asilia ya ngozi Barabara ya vumbi toka Mbalizi hadi eneo husika kwa sasa kanisa la uinjilisti Lehner limejenga vyumba vya kulala wageni pamoja na mabwawa ya kuogelea

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.