• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbeya District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human Resources and Administration
      • Finance
      • Planning, Monitoring and Stastics
      • Health
      • Works
      • Water
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Cleaning and Environment
      • Secondary Education
      • Agriculture, Irrigation and Cooperative
      • Primary Education
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • ICT and Public Relations
      • Legal
      • Election
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Bee keeping
  • Investment Opportunities
    • Tourists Attraction
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Expertise
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Commitee
      • Finance, Administration and Planning Committee
      • Economics affairs, Construction and Environment Committee
      • Education, Health and Water Committee
      • AIDS Prevention Committee
    • Time table
      • Councilors Meetings
      • Visiting Chairperson
  • Projects
    • Approved Projects
    • On-going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • By Laws
    • Service Contract
    • Strategic plan
    • Reports
      • Council Financial Report
      • Medium Term Expenditure Framework
      • Month Revenue and Expenditure Report
      • Council Development Report
      • Annual Performance and Financial Report
      • Full Council Minutes
    • Forms
    • Guidelines
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Agriculture, Irrigation and Cooperative

1:0 UTANGULIZI.

Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inajumla ya watumishi 128 watumishi hao hutoa huduma moja kwa moja kwa wananchi na kuwanufaisha wakulima kufuata mbinu bora za kilimo zinazoendana na mabadiliko ya tabia nchi.

1:1 Ardhi inayotumika kwa kilimo

Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inaukubwa wa hekta 243,200 Kati ya hekta hizo hekta 216,400 sawa na asilimia 88.9. zinafaa kwa kilimo. 

2.0 MAZAO YANAYOLIMWA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA

Mazao yanayolimwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya yamegawanywa katika makundi mawili; yaani mazao ya biashara na mazao ya chakula.

(a) Mazao ya Biashara

Mazao ya biashara yanayolimwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya ni zao la Pareto pamoja na zao la kahawa.

(b) Mazao ya Chakula

Mazao ya chakula yanayolimwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya ni; mahindi, viazi mvilingo, mazao ya jamii ya mikunde (maharagwe na njegele), pamoja na mazao ya mbogamboga.

3:0 MAJUKUMU YA KAZI ZA IDARA.

Idara ya kilimo, Umwagiliaji na ushirika katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inatekeleza majuku yafuatayo:

  • Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji masuala yote yanayohusiana na matumizi ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
  • Kukusanya na kusimamia Takwimu za Kilimo na Ushirika
  • Kuandaa Bajeti kwa ajili ya uwekezaji wa Mipango  ya Sekta ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
  • Kufanya Ufuatiliaji na utabiri wa mavuno
  • Kufanya tathimini kuhusu kuingiza vizazi vipya vya mazao nchini kwa kushirikiana na taasisi nyingine
  • Kusimamia Sekta binafsi kuwekeza katika sekta ya kilimo.
  • Kuanzisha/kuandaa mapendekezo ya Sera ya mazao kwa kushirikiana na Idara ya Mipango
  • Kutoa mahitaji ya pambejeo Kitaifa
  • Kusimamia na kuendesha huduma za udhibiti wa visumbufu vya mazao
  • Kutoa mchango kwa mipango ya baadaye kwa wachumi
  • Kusimamia  shughuli zote za Ugani katika Halmashauri
  • Kusimamia rasilimali za Sekta ya mazao
  • Kufuatilia Utendaji wa Sekta ya mazao
  • Kushiriki katika kuandaa mitaala ya  vyuo Mafunzo ya Hifadhi ya udogo na maji
  • Kuratibu programu za kuhifadhi mazingira
  • Kuandaa na kusimamia sera za matumizi bora ya rasilimali ya ardhi
  • Kushirikiana na taasisi za kimataifa katika kuimarisha utendaji kazi za kilimo.
  • Kusimamia uzalishaji Mbegu
  • Kutoa ushauri na taaluma katika upembuzi kuhusu teknolojia mpya na sheria kuhusu uzalishaji Mbegu rasmi na sio rasmi
  • Kusimamia sera ya Umwagiliaji
  • Kutoa ushauri katika Uendeshaji, Matengenezo na matumizi bora ya maji katika mashamba ya Kilimo cha Umwagiliaji
  • Kuandaa na kusimamia taratibu /Sheria za Umwagiliaji
  • Kuainisha maeneo mapya ya Umwagiliaji
  • Kusaidia kuandaa na kutekeleza kazi zinazohusu mazingira katika Kilimo cha Umwagiliaji
  • Kusimamia na kuratibu ukaguzi wa vyama vya Ushirika vya msingi vinavyoendesha miradi  pamoja (Joint Venture)
  • Kuhakikisha uanzishaji wa vyama vya Ushirika vya Msingi
  • Kukusanya na kuchambua Takwimu zinazohusu masoko katika Halmashauri
  • Kutoa Ushauri juu ya  Uendeshaji wa vyama vya Ushirika vya Msingi
  • Kuratibu/Kushiriki katika Elimu ya Ushirika katika vyama vya Ushirika vya Msingi
  • Kufanya Uchambuzi wa makisio ya mapato na matumizi vya vyama vya Ushirika vya  Msingi na kutoa mapendekezo katika ngazi ya Halmashauri
  • Kufanya Uchambuzi wa maombi ya kuandilisha chama cha Ushirika na kushauri ipasavyo
  • Kutoa Taarifa ya Maendeleo ya Ushirika
  • Kutayarisha Bajeti ya Wilaya hususani matumizi ya idara ya kilimo.
  • Kuwasilisha Mapendekezo ya uandikishaji na ufuatiliaji wa vyama vya Ushirika vya msingi kwa mujibu wa sheria na kanuni ya Ushirika kwa msajili Msaidizi wa Mkoa.
  • Kushauri, Kuidhinisha na kutunza Regista ya Dhamana ya mikopo
  • Kusimamia uandikishaji wa vyama vya Ushirika vya msingi
  • Kusimamia, Kuendesha/kufanya na kuratibu upimaji utendaji kazi wa Watumishi wote walio katika Idara yako kwa mujibu wa Sera ya Menejimenti na Ajira.

4:0  MAFANIKIO:

Idara ya kilimo na Ushirika imepeta mafanikio yafuatayo:

  • Kusimamia ujenzi na uboreshaji wa  miundo mbinu ya umwagiliaji yenye uwezo wa kumwagilia jumla ya hekta 2450 kati ya hekta 5300 zinazofaa kwa umwagiliaji.
  • Wakulima kutumia zana bora zakilimo katisha shughuli za uzalishaji mali shambani. Hadi sasa zana bora za kilimo zilizopo ni matrekta makubwa 35 na madogo 24 na matela 34.  Pia kuna zana nyingine bora kama ifuatavyo: Wanyama kazi 1955, Plau 578, Ripa 24, Rija 49, Haro 12, Kati veta 24, Planta 19, Subsoiler 24 na Mikokoteni 18.
  • Kuanzisha mashamba 10 ya maoneshoya kilimo hifadhi.
  • kuanzisha vituo 8 vya Usindikaji wa mazao kwa ajili ya kuongeza thamani.  Kati ya hivyo, vituo 4 ni kwa ajili ya mazao ya nafaka na 4 kwa ajili ya mazao ya bustani.
  • Kuongezeka kwa Maghala ya kuhifadhia mazao kutoka maghala 5 kutoka mwaka 2006 hadi maghala 18 mwaka 2016.
  • Kutengenezwa kwa mita 578,678 za makinga maji toka mwaka 2009 hadi mwaka 2015
  • Kupimwa kwa vijiji 12 katika mpango wa matumizi bora ya ardhi kwa ajili ya matumizi ya kilimo, Malisho ya mifugo, makazi, huduma za kijamii na hifadhi ya misitu.
  • Uzalishaji wa mbegu bora za viazi mviringo( Meru, Asante,Tengeru na Sherekea) imeongezeka toka kilo 28,000 (2013) hadi kilo 200,800 (2016)
  • Kuanzishwa kwa  vituo 03 vya mafunzo kwa wakulima (WRC) kati ya hivyo 02 vimekamilika .
  •  
  • 5:0.FURSA ZILIZOPO:
  • Ardhi bora  inayofaa kwa kilimo cha mazao mbalimbali mfano Mahindi,Maharage, Viazi  mviringo /Vitamu,Ngano,Kahawa, Pareto, Alizeti,Ufuta  na Mazao ya bustani yote.
  • Hali ya hewa  inayofaa kwa kilimo kwa mwaka mzima  wa uzalishaji wa mazao.
  • Miundo Mbinu ya Umwagiliaji iliyoboreshwa  yenye uwezo wa kumwagilia jumla ya hekta 2450.
  • Wataalamu wa kilimo wa  kutosha   kuhudumia  wakulima  kwa kipindi chote cha uzalishaji wa mazao
  • Miundo Mbinu bora ya usafirishaji toka mashambani hadi kwenye Masoko ya mazao
  • Maghala ya kuhifadhi  mazao ya nafaka na mikunde kwa mwaka mzima wa kilimo.
  • Upatikanaji rahisi wa Pembejeo za kilimo toka makampuni mbalimbali ya ndani na nje ya nchi.
  • Masoko ya mazao ya kilimo yanapatikana kwa urahisi toka ndani   na nje ya nchi (Malawi, Zambia,DRC-Congo,Burundi na Rwanda).
  • Upatikanaji  rahisi wa nguvu kazi katika Wilaya  yenye zaidi ya wakazi 305,319 .

Announcements

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • View All

Latest News

  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    April 25, 2025
  • View All

Video

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
More Videos

Quick Links

  • MBEYA

Related Links

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mbaliz Road

    Postal Address: 599

    Telephone: 025-2502260

    Mobile: 0762210758

    Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.