UTANGULIZI
Kitengo cha Sheria kina jumla ya watumishi wawili kati ya watumishi wanne wanaohitajika kwa mujibu wa muundo wa watumishi wa kitengo cha sheria katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa. Idadi hii ya Watumishi inaleta upungufu wa watumishi wawili. Hatua zilizochukuliwa na Halmashauri ni kuomba kibali cha kufanya mabadiliko ya cheo kwa watumishi waliusoma sheria toka Idara/Vitengo vingine.
MAJUKUMU YA KITENGO CHA SHERIA
Kitengo cha sheria kinatekeleza shughuli za kiutawala na kiutendaji kama ifuatavyo.
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.