Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi milioni 800 katika kata za Iwindi na Isuto.
Kamati hiyo, inayoongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Aidda C. Haule, imewahimiza wananchi kusimamia na kulinda fedha za Serikali zinazotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo yao.
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.