• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbeya District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human Resources and Administration
      • Finance
      • Planning, Monitoring and Stastics
      • Health
      • Works
      • Water
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Cleaning and Environment
      • Secondary Education
      • Agriculture, Irrigation and Cooperative
      • Primary Education
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • ICT and Public Relations
      • Legal
      • Election
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Bee keeping
  • Investment Opportunities
    • Tourists Attraction
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Expertise
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Commitee
      • Finance, Administration and Planning Committee
      • Economics affairs, Construction and Environment Committee
      • Education, Health and Water Committee
      • AIDS Prevention Committee
    • Time table
      • Councilors Meetings
      • Visiting Chairperson
  • Projects
    • Approved Projects
    • On-going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • By Laws
    • Service Contract
    • Strategic plan
    • Reports
      • Council Financial Report
      • Medium Term Expenditure Framework
      • Month Revenue and Expenditure Report
      • Council Development Report
      • Annual Performance and Financial Report
      • Full Council Minutes
    • Forms
    • Guidelines
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Election

1.0 UTANGULIZI

Kitengo hiki ni kimoja kati ya vitengo 6 katika Halmashauri ya Mbeya. kitengo hiki ni kiungo maalum kinacho ratibu shughuli zote za uchaguzi wa Uchaguzi Mkuu, serikali za  za Mita na uchaguzi mdogo katika Halmashauri.

MAANA YA CHAGUZI MKUU

 Uchaguzi ni njia ya msingi iliyokubalika ambayo jamii huitumia kupata viongozi Kidemokrasia. Sifa mojawapo ya Uchaguzi wa Kidemokrasia uliohuru na wa haki ni Uchaguzi kufanyika kwa Siri ambapo jamii hupiga Kura kwa viongozi wanao wahitaji na wanaowaona wanafaa kwa ajili ya kuwaongoza

Uchaguzi wa Kidemokrasia hufanyika mara kwa mara katika vipindi vinavyoeleweka, Uchaguzi kutoa fursa sawa kwa wagombea wote katika ngazi husika kuruhusu waangalizi wandani na nje kufuatilia mchakato mzima wa Uchaguzi.

Uchaguzi Mkuu

Ni mchakato mzima wa wananchi au jamii kupiga Kura kuchagua wawakilishi wao kuanzia ngazi ya kata kwa maana ya Madiwani, Jimbo kwa maana ya Wabunge na Uchaguzi wa Rais wa nchi.

Uchaguzi Mdogo 

Ni Uchaguzi unaofanywa angalau mara mbili kwa Mwaka ili kuwapata Viongozi wa kujaza nafasi zilizo wazi katika Kata au Majimbo kutokana na sababu mbalimbali. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 13 (1) na (3) cha Sheria ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Sura ya 292 na kifungu cha 37 (1) (b) na (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na;

  • Mbunge, Diwani aliyekuwepo kufariki au kujiuzulu
  • Mbunge, Diwani aliyekuwepo kukosa sifa ya kuendelea na nafasi yake kwa mujibu wa sheria
  • Mahakama kutoa hukumu ya kubatilishwa kwa matokeo ya Uchaguzi.
  • Ikiwa Mbunge, Diwani atajitoa au kuvuliwa Uanachama kutoka Chama kilichompa dhamana ya kugombea nafasi aliyonayo.

Aidha Uchaguzi Mdogo huratibiwa na kusimamiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi baada ya kupokea taarifa ya maandishi kutoka kwa Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa kuhusu uwepo wa nafasi wazi za Udiwani.

Kila baada ya Uchaguzi Mkuu, Madiwani waliochaguliwa huchaguana na kuwapata Mwenyekiti na Makamu wa Halmashauri ya Wilaya ambao huungana na Mkurugenzi kama Katibu kuendesha shuguli za Halmashauri.

Halikadhalika madiwani waliochaguliwa pamoja na Mbunge wa Jimbo huunda kamati 5 ambazo hurahisisha utekelezaji na ufuatiliaji wa majukumu yao. Kamati ambazo huundwa ni

  • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango  (FUM) inaundwa na wajumbe wasiopungua kumi (10), Kiongozi ni Mwenyekiti wa Halmashauri wakiwemo Mbunge wa Jimbo la Mbeya na makamu Mwenyekiti wa Halmashauri. Wajumbe wengine ni Wenyeviti wa kamati tano (5) zilizotajwa hapa chini na wajumbe wengine ni madiwani wa viti maalum (Ke)
  • Kamati ya Elimu, Afya na Maji.
  • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na mazingira
  • Kamati ya Ukimwi
  • Kamati ya Maadili

Jimbo la uchaguzi

Jimbo la uchaguzi la Mbeya vijijini lina Tarafa 3, kata 28, Vijiji 152 na Vitongoji 935 ambavyo hivi ni vituo vya kupigia kura na vituo 302 vya kuandikisha wapiga kura.

Halikadhalika jimbo lina  Mbunge moja ambalo kwa sasa linaongozwa na  Mhe. ORAN NJEZA wa kuchaguliwa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) aliyeibuka mshindi katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Aidha Madiwani Ishirini na nane (28) waliibuka washindi katika uchaaguzi Mkuu huo, kati yao Madiwani ishirini na moja (21), wa Chama Cha Mapinduzi  na saba ni wa (7) CHADEMA.  Halikadhalika kuna Madiwani wawakilishi wa viti maalum, CCM wapo saba (7) na CHADEMA ni watatu (3), hivyo Jumla ya Madiwani wote wa Halmashauri kuwa Thelathini na nane (38)

Hali ya kisiasa katika Halmashauri ni shwari na wananchi wanaedelea na shughuli za maendeleo na zile za kujiongezea kipato. Kuna jumla vyama vya siasa kumi na moja (11) vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa 2015, vyama hivi ni kama vifuatavyo.

  • Chama Cha Mapinduzi (CCM)
  • Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
  • Civil United Front (CUF)
  • DEMOKRASI MAKINI
  • Tanzania Labor Party (TLP)
  • ACT WAZALENDO
  • UDP 
  • NCCR MAGEUZI
  •  UPT MAENDELEO

2.0 MAJUKUMU YA IDARA 

Kitengo hiki kinasimamia Chaguzi zote za Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu

Kutambua nafasi wazi za viongozi wa kuchaguliwa ngazi za vijiji na vitongoji na kuhakikisha kuwa zinajazwa kwa wakati kwa kusimamia na kufanya uchaguzi mdogo katika vijiji/Vitongoji vilivyobainika kuwa havina viongozi wa kuchaguliwa mara tu nafasi inapotokea.

 Kutoa taarifa ya utekelezaji pamoja na matokeo ya Viongozi waliochaguliwa ili kuwepo na kumbukumbu sahihi za ofisi

 

Announcements

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • View All

Latest News

  • CRDB BENKI YATOA SHUKRANI KWA WATEJA WA HALMASHAURI

    September 17, 2025
  • RC MBEYA AHIMIZA MATUMIZI NISHATI SAFI.

    August 29, 2025
  • DC ITUNDA AKUTANA NA MACHIFU WA HALMASAHAURI YA WILAYA YA MBEYA

    August 28, 2025
  • DED ERICA E. YEGELLA APOKEA UGENI WA MACHIFU KUTOKA MKOA WA RUVUMA

    August 27, 2025
  • View All

Video

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
More Videos

Quick Links

  • MBEYA

Related Links

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mbaliz Road

    Postal Address: 599

    Telephone: 025-2502260

    Mobile: 0762210758

    Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.