• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbeya District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human Resources and Administration
      • Finance
      • Planning, Monitoring and Stastics
      • Health
      • Works
      • Water
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Cleaning and Environment
      • Secondary Education
      • Agriculture, Irrigation and Cooperative
      • Primary Education
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • ICT and Public Relations
      • Legal
      • Election
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Bee keeping
  • Investment Opportunities
    • Tourists Attraction
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Expertise
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Commitee
      • Finance, Administration and Planning Committee
      • Economics affairs, Construction and Environment Committee
      • Education, Health and Water Committee
      • AIDS Prevention Committee
    • Time table
      • Councilors Meetings
      • Visiting Chairperson
  • Projects
    • Approved Projects
    • On-going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • By Laws
    • Service Contract
    • Strategic plan
    • Reports
      • Council Financial Report
      • Medium Term Expenditure Framework
      • Month Revenue and Expenditure Report
      • Council Development Report
      • Annual Performance and Financial Report
      • Full Council Minutes
    • Forms
    • Guidelines
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi

HATUA ZA KUFUATA

1. SAJILIWA KWENYE MFUMO

Usajili wa kwenye mfumo unafanywa na Afisa TEHAMA wa Halmashauri uliyopo (kama muombaji ni mtumishi wa Halmashauri). Ili usajaliwe yafuatayo yanahitajika:

  1. Majina matatu ya muombaji wa kibali
  2. Namba ya simu ya muombaji wa kibali
  3. Anuani ya barua pepe ya muombaji wa kibali (Inashauriwa kuwa na anuani ya barua pepe ya serikali)
  4. Cheo cha muombaji na Idara anatoka muombaji wa kibali

Afisa TEHAMA atakusajili na kukufundisha namna ya kujaza fomu kwenye mtandao.

 

2. HUISHA AKAUNTI YAKO YA MFUMO

Baada ya kusajiliwa kwenye mfumo, utapokea ujumbe kwenye barua pepe yako (kupitia anuani uliyosajaliwa nayo hapo awali kwenye hatua ya kwanza)

Ujumbe utakupa maelekezo ya namna ya kuingia kwenye mfumo na utakutaka kubadili neno la siri/nywila (password), kisha utaweza kuingia kwenye mfumo na kuanza kufanya maombi ya kibali cha kusafiri nje ya nchi.

MUHIMU: Nywila (password) lazima iwe na sifa neno lenye urefu wa characters nane ambapo ndani yake kuwe na mchanganyiko wa herufi kubwa na ndogo, namba na “special characters - !@$%#” (mfano: Mtanzania123!)

3. INGIA KWENYE MFUMO 

Ukifanikiwa kuingia kwenye mfumo, unatakiwa kubonyeza/kuingia kwenye aneo la “kibali cha safari”. Ili ukamilishe eneo hili, mahitaji yafuatayo lazima yatimizwe;

  1. Kuwa na hati ya kusafiria (passport) na ujue namba yake (passport number)
  2. Fahamu tarehe ya safari (kumbuka: maombi ya kibali yanatakiwa kufanywa siku ishirini na nne (24) au zaidi kabla ya tarehe/siku ya safari (kuanza kwa kibali chako). Naombi yatakayofanywa chini ya muda huo hayakubalika kwenye mfumo. Mfano ikiwa zimebaki siku 20 kabla ya tarehe ya safari, maombi yako yatakataliwa na mfumo automatically)
  3. Kama safari inagharamiwa na serikali, fahamu kwa usahihi kiasi cha nauli na posho unayotakiwa kulipwa/kupewa
  4. Utapashwa kutoa melezo juu manufaa ya safari yako kwa taifa (kwa ufupi yasizidi maneno 100)
  5. Kuwa na barua ya mwaliko
  6. Kuwa na barua iliyoidhinishwa na Mkuu wa Idara
  7. Kuwa na barua ya utambulisho kutoka kwa Mkuu wa Taasis yako (kwa halmashauri barua ni ya Mkurugenzi wa halmashauri)

NOTE:

1: Kama safari ni binafsi kwa matembezi/mapumziko, lazima uwe na barua ya likizo

2: Kama safari ni matibabu ni lazima uwe na vielelezo vinaelezea Ushauri wa Kitabibu na Rufaa ya Matibabu

3: Kama safari ya ni mafunzo ya muda mrefu ni lazima uwe na;

Barua ya Udahili

Barua ya Udhamini wa Masomo

Barua ya Mwaliko

MUHIMU: 

Nyaraka zote hizi ziwe zimefanyiwa scanning kwenye format ya PDF

 

4. KUJAZA FOMU

Mfumo unakuelekeza namna ya kukamilisha kujaza fomu mpaka mwisho. Ukiwa na nyaraka (documents) zilizoanishwa hapo mwanzo, zoezi la kujaza fomu linakuwa fupi. (Melekezo ya jinsi ya kujaza fomu yanatolewa na Afisa TEHAMA aliyekusajili kwenye mfumo)

KUMBUKA: zoezi la kujaza fomu linafanyika kuanzia hatua ya mwanzo hadi ya mwisho kwa wakati mmoja. Maana yake ni kwamba ili uanze kujaza fomu ni lazima uwe na nyaraka zilizotajwa hapo mwanzo.

Mara baada ya kukamilisha ujazaji wa fomu kikamilifu, utawasilisha fomu yako kwa njia hii ya mtandao kwa kubonyeza neno WASILISHA.

Maombi yako yatakuwa yametumwa kwenye mamlaka husika na kufanyiwa kazi (kwa ngazi ya Halmashauri maombi yanatumwa TAMISEMI). Mrejesho wa kibali chako utayapa kwa njia mtandao kama ulivyofanya maombi ya kibali.

 

5: NAMNA YA KUPATA MREJESHO WA MAOMBI

Mrejesho wa maombi unapatikana kwa kuingia kwenye mfumo (kama ulivyoingia wakati wa kuomba kibali), na baada ya kufanikiwa kuingiwa kwenye mfumo, bonyeza/ingia kwenye mrejesho wa safari ili kupata mrejesho. Kipindi cha kupata mrejesho baada ya kuomba kibali inategemea na mamlaka inayohusika na kupitisha vibali.

Kibali kikiwa kipo tayari, unaweza kuprint.

Kuingia kwenye mfumo, bonyeza hapa

Announcements

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • View All

Latest News

  • DC MBEYA AFUATILIA AGIZO LA RC HOMERA UJENZI WA BARABARA YA MCHEPUKO IWAMBI MBALIZI, ARIDHISHWA NA KASI YAKE.

    June 10, 2025
  • Tuheshimu Sheria na taratibu zilizowekwa na Serikali- DED Erica..

    June 06, 2025
  • MbeyaDc yaadhimisha siku ya Mazingira Duniani kwa kufanya usafi katika Mto Mbalizi

    June 05, 2025
  • BARABARA ZA BIL.2+ KUJENGWA MBEYA DC, MBUNGE NJEZA ASHUHUDIA MIKATABA.

    May 24, 2025
  • View All

Video

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
More Videos

Quick Links

  • MBEYA

Related Links

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mbaliz Road

    Postal Address: 599

    Telephone: 025-2502260

    Mobile: 0762210758

    Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.