• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbeya District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human Resources and Administration
      • Finance
      • Planning, Monitoring and Stastics
      • Health
      • Works
      • Water
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Cleaning and Environment
      • Secondary Education
      • Agriculture, Irrigation and Cooperative
      • Primary Education
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • ICT and Public Relations
      • Legal
      • Election
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Bee keeping
  • Investment Opportunities
    • Tourists Attraction
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Expertise
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Commitee
      • Finance, Administration and Planning Committee
      • Economics affairs, Construction and Environment Committee
      • Education, Health and Water Committee
      • AIDS Prevention Committee
    • Time table
      • Councilors Meetings
      • Visiting Chairperson
  • Projects
    • Approved Projects
    • On-going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • By Laws
    • Service Contract
    • Strategic plan
    • Reports
      • Council Financial Report
      • Medium Term Expenditure Framework
      • Month Revenue and Expenditure Report
      • Council Development Report
      • Annual Performance and Financial Report
      • Full Council Minutes
    • Forms
    • Guidelines
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Akina baba Mbeya waaswa kutoa ushirikiano katika kuboresha lishe za watoto

Posted on: June 1st, 2018

“Mbeya bila udumavu inawezekana”  Hii ni kauli mbiu ya kuhamasisha mwezi wa lishe katika mkoa wa Mbeya ambao unaadhimishwa mara mbili kwa mwaka; Juni na Disemba.

Akimwakilisha  Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya, Ndg. Ferister Zanzibar kwenye uzinduzi wa lishe mwezi june amesema kuwa, tatizo la udumavu kwa watoto chini ya miaka mitano (5) katika mkoa wa Mbeya ni kubwa sana ukilinganisha na mikoa mingine.  Takwimu za 2015-2016 zinaonesha udumavu katika mkoa wa Mbeya ni asilimia 37.7 ukilinganisha na asilimia 34.4 ya taifa kwa ujumla.

Aidha Zanzibar amesema kwamba licha ya mkoa wa Mbeya kuongoza uzalishaji wa mazao ya chakula pamoja na mbogamboga lakini bado tatizo hili linaendelea kuwa sugu kutokana na tamaduni za wanaume wengi katika familia kuwaachia wanawake pekee jukumu la kuwahudumia watoto.

“Wananchi, hususani kina baba ni jukumu letu sote kuhakikisha tunawapa watoto wetu virutubisho muhimu na sio kuwaachia kina mama peke yao. Inatakiwa baba ashirikiane na mama kwa namna moja ama nyingine kuhakikisha kwamba mtoto anapata vipimo sahihi”

Awali akisoma risala Kaimu Afisa Lishe, Julith Shirima amesema kuwa, katika mwezi huu halmashauri itatoa huduma za lishe bure kwa watoto chini ya miaka 5. Amezitaja huduma zitakazotolewa kuwa ni pamaja na; kupima hali ya lishe, kutoa matone ya vitamin A na dawa za kutibu minyoo, huduma ya unasihi na kutoa elimu ya usafi wa chakula, maji na mazingira.

Announcements

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • View All

Latest News

  • CRDB BENKI YATOA SHUKRANI KWA WATEJA WA HALMASHAURI

    September 17, 2025
  • RC MBEYA AHIMIZA MATUMIZI NISHATI SAFI.

    August 29, 2025
  • DC ITUNDA AKUTANA NA MACHIFU WA HALMASAHAURI YA WILAYA YA MBEYA

    August 28, 2025
  • DED ERICA E. YEGELLA APOKEA UGENI WA MACHIFU KUTOKA MKOA WA RUVUMA

    August 27, 2025
  • View All

Video

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
More Videos

Quick Links

  • MBEYA

Related Links

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mbaliz Road

    Postal Address: 599

    Telephone: 025-2502260

    Mobile: 0762210758

    Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.