Kikao cha baraza la bajeti la madiwani limepitisha bajeti yam waka 2024/2025 Tsh bilioni 71 ikiwa ni fedha kutoka serikali Kuu, Wahisani na mapato ya ndani.
Madiwani wamewataka ofisi ya Mkurugenzi kupitia upya upangaji wa fedha katika kata na kuhakikiaha kata zote zinapata fedha sawa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Kata.
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.