Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya ametetea kiti chake kwa kuchaguliwa kwa kishindo kwa kupata kura asilimia 97% ya wapiga kura wote
idadi ya wapiga kura ni wajumbe 34, mjumbe mmoja hakupiga kura, mjumbe mmoja alisema hapana na wajumbe 32 wote walipiga kura za ndio.
hali hii imepelekea ushindi wa kishindo kwa makamu mwenyekiti wa halmashauri ambaye ataongoza kwa muda wa mwaka mmoja mwingine.
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.