Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Mbeya ndugu Paulo Mamba Sweya leo Oktoba 4, 2024 amefungua mafunzo kwa maafisa maendeleo wa Halmashauri
mafunzo hayo yatakayodumu kwa muda wa siku mbili yanawahusisha maafisa hao kujifunza njia nzuri ya kukopesha vikundi kama ambavyo muongozo umetolewa na serikali wa jinsi ya
kukopesha mkopo wa asilimia 10% kwa vikundi vilivyopo halmashauri.
mikopo hii inajulikana kama mikopo ya halmashauri.
Mkurugenzi Mtendaji amewataka maafisa hao wajifunze na wakafanye kazi kwa uaminifu na hatarajii kuona wanaingia matatizoni kwa kutokufatilia marejesho.
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.