Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe Beno Malisa, waheshimiwa Madiwani, na Watumishi wa Wilaya ya Mbeya wameshiriki katika Dua na Maombi ya kuliombea Taifa ilofanyika leo tarehe 22 Aprili katika uwanja wa soko la zamani Uhindini Mbeya, Mgeni rasmi akiwa ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera.
Kaulimbiu: Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania "Tumeshikamana na Tumeimarika kwa maendeleo ya taifa".
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.