• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbeya District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human Resources and Administration
      • Finance
      • Planning, Monitoring and Stastics
      • Health
      • Works
      • Water
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Cleaning and Environment
      • Secondary Education
      • Agriculture, Irrigation and Cooperative
      • Primary Education
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • ICT and Public Relations
      • Legal
      • Election
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Bee keeping
  • Investment Opportunities
    • Tourists Attraction
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Expertise
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Commitee
      • Finance, Administration and Planning Committee
      • Economics affairs, Construction and Environment Committee
      • Education, Health and Water Committee
      • AIDS Prevention Committee
    • Time table
      • Councilors Meetings
      • Visiting Chairperson
  • Projects
    • Approved Projects
    • On-going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • By Laws
    • Service Contract
    • Strategic plan
    • Reports
      • Council Financial Report
      • Medium Term Expenditure Framework
      • Month Revenue and Expenditure Report
      • Council Development Report
      • Annual Performance and Financial Report
      • Full Council Minutes
    • Forms
    • Guidelines
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

HATUNA SHAKA NA WATAALAMU WETU- MWALINGO

Posted on: June 11th, 2020

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya Mh. Mwalingo Kisemba amesema kuwa kama madiwani wana imani na wataalamu katika kutekeleza shughuli na majukumu yote wakati wa kipindi chote watakachokuwa  hawapo.

Mwalingo ameyasema hayo wakati wa baraza la kupokea taarifa zilizotekelezwa ndani ya halmashauri kwa kipindi chote cha uongozi wa madiwani hao kuanzia 2015 hadi 2020.

“sisi kama madiwani hatuna shaka na utekelezaji wenu wa majukumu ya kila siku kwa kipindi chote ambacho sisi hatatukuwepo,  ninyi ni wachapa kazi na hayo mmetuonesha kwa kipindi hiki chote. Mmefanya mambo makubwa hivyo tunaidhinisha kuendelea kutekeleza majukumu  hayo kwa niaba yetu." Mwalingo

Naye Mkurugenzi mtendaji wa halmshauri ya wilaya ya Mbeya Nd. Stephe E. Katemba amebainisha baadhi ya shughuli zitakazotekelezwa kuwa ni pamoja na uidhinishaji  wa upandishaji wa vyeo na ulipaji wa mishahara kwa watumishi, ujenzi wa shule ya  msingi ya mchepuo wa kingeleza na madarasa kwa ajili ya maandalizi ya kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanaza.

Katika kipindi cha miaka mitano halmshauri ya wilaya ya Mbeya imefanikiwa kuratibu shughuli mbalimbali ikiwemo ujenzi wa hospital ya wilaya, stendi ya Mbalizi, shule ya sekondari ya  wasichana maalum ya Galijembe, Machinjio ya muda Utengule, vituo vya afya na zahanati pamoja na ujenzi wa madarasa na vyoo katika shule za msingi na sekondari. 

Announcements

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • View All

Latest News

  • CRDB BENKI YATOA SHUKRANI KWA WATEJA WA HALMASHAURI

    September 17, 2025
  • RC MBEYA AHIMIZA MATUMIZI NISHATI SAFI.

    August 29, 2025
  • DC ITUNDA AKUTANA NA MACHIFU WA HALMASAHAURI YA WILAYA YA MBEYA

    August 28, 2025
  • DED ERICA E. YEGELLA APOKEA UGENI WA MACHIFU KUTOKA MKOA WA RUVUMA

    August 27, 2025
  • View All

Video

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
More Videos

Quick Links

  • MBEYA

Related Links

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mbaliz Road

    Postal Address: 599

    Telephone: 025-2502260

    Mobile: 0762210758

    Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.