Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera ameahidi kufanya mazungumzo na wadau wa zao la pareto ili kufanya mabadiliko ya bei ya zao hilo
Homera ameyasema hayo wakati akijibu kero ya wakulima wa pareto katika Kata ya Santilya alipokuwa na ziara ya kukagua kituo cha Afya Santilya na kuongea na wananchi wa kata hiyo.
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.