Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya ndugu Stephen E. Katemba ameendelea kuaminiwa na Mhe. Rais Samia S. Hassan kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Sumbawanga ambapo ataondoka halmashauri ya Wilaya ya Mbeya na kuanza kazi Sumbawanga.
Baraza la Madiwani, Menejimenti na Wafanyakazi wote tunampongeza na kumtakia majukumu mema huko aendapo.
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.