Halmashauri kuu imepokea taarifa ya utekeleza wa ilani ya chama cha Mapinduzi ilotekelezwa na Halmashauri ya wilaya ya Mbeya.
Halmashauri Kuu imempongeza Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo kama vile Afya, Elimu, Barabara na Maji.
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.