Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe Mwalingo Kisemba imeketi leo kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo ya halmashauri ya Wilaya ya Mbeya
kikao kimefanyika katika ukumbe wa halmashauri.
kamati ya FUM imeipongeza Menejimenti kwa kukusanya mapato na kufikia asilimia 100
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.