Mwenyekiti wa (MPDSR. MEETING) ambaye ndiye mganga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Maisara Karume ameongoza kikao cha (MPDSR. MEETING) chenye lengo la kupitia na kujadili vifo vilivyotokea kwa robo mbili ambayo ni kuanzia October – December 2022 hadi January - March 2023 na kubaini changamoto mbalimbali zilizopelekea vifo, na kuweka mikakati ya kutatua changamoto hizo ili kupunguza vifo
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.