• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbeya District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human Resources and Administration
      • Finance
      • Planning, Monitoring and Stastics
      • Health
      • Works
      • Water
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Cleaning and Environment
      • Secondary Education
      • Agriculture, Irrigation and Cooperative
      • Primary Education
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • ICT and Public Relations
      • Legal
      • Election
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Bee keeping
  • Investment Opportunities
    • Tourists Attraction
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Expertise
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Commitee
      • Finance, Administration and Planning Committee
      • Economics affairs, Construction and Environment Committee
      • Education, Health and Water Committee
      • AIDS Prevention Committee
    • Time table
      • Councilors Meetings
      • Visiting Chairperson
  • Projects
    • Approved Projects
    • On-going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • By Laws
    • Service Contract
    • Strategic plan
    • Reports
      • Council Financial Report
      • Medium Term Expenditure Framework
      • Month Revenue and Expenditure Report
      • Council Development Report
      • Annual Performance and Financial Report
      • Full Council Minutes
    • Forms
    • Guidelines
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MADIWANI NA WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUMILIKI MALI ZINAZOELEZEKA

Posted on: October 31st, 2018

Mkuu wa Taasisi ya  Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Mkoani Mbeya ndug.Emmanuel Kiyabo amewataka madiwani na wataalaamu Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya kumiliki mali halali  kadili ya uwezo wao ilikuweza kufikia Tanzania ya viwanda na kufikia uchumi wa kati.

Kiyabo ametoa wito huo wakati wa kutoa elimu ya kupambana na rushwa katika mkutano wa robo ya kwanza wa baraza la madiwani uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri Oktoba 31,2018.

Pia mkuu wa taasisi  hiyo amewaomba madiwani kusimamia kikamilifu miradi ya maendeleo pamoja na kushirikiana na taasisi hiyo katika kutoa taarifa pale ambapo patakuwa na viashiria vya rushwa.

“hakuna kosa kama la kumiliki mali ambazo hazielezeki  kifungu hiki ni cha 27, lengo lake si kuwafanya watumishi wa umma kuwa masikini hapana miliki mali kadili inavyo wezekana watumishi wezangu na madiwani miliki mali lakini uweunaweza wa  kuzielezea  endapo utaishi maisha ya juu kuliko kipato halali utakuwa unatenda kosa tuwe na uwezo wa kuelezea mali zetu kila wakati,”Kiyabo. 

Kwa upande mwingine Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya  Mbeya Mh.Julias Changani Ntokani amewaomba madiwani kutoa ushirikiano kwa watalaamu katika suala la kukusanya mapato ikiwa ni pamoja na  kubaini vyanzo vipya vya mapato pamoja na kusimamia kikamilifu miradi ya maendeleo iliyoko kwenye maeneo yao.

Announcements

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • View All

Latest News

  • CRDB BENKI YATOA SHUKRANI KWA WATEJA WA HALMASHAURI

    September 17, 2025
  • RC MBEYA AHIMIZA MATUMIZI NISHATI SAFI.

    August 29, 2025
  • DC ITUNDA AKUTANA NA MACHIFU WA HALMASAHAURI YA WILAYA YA MBEYA

    August 28, 2025
  • DED ERICA E. YEGELLA APOKEA UGENI WA MACHIFU KUTOKA MKOA WA RUVUMA

    August 27, 2025
  • View All

Video

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
More Videos

Quick Links

  • MBEYA

Related Links

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mbaliz Road

    Postal Address: 599

    Telephone: 025-2502260

    Mobile: 0762210758

    Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.