Ndugu Gidion Mapunda amefungua mafunzo kwa Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wa Serikali za mitaa leo Septemba 30, 2024 katika ukumbi wa Maranatha.
Bi Irene Kasonga Aakitoa Elimu kwa Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi.
wasimamizi wasisitizwa weledi katika kazi ya usimamizi maana wao ndio dira ya uchaguzi bora.
Ndugu Daudi Mbembela akitoa mafunzo kwa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.