Makamu wa raisi Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akiongea na wananchi wa kata ya Inyala katika Uzinduzi wa Zahanati ya Shamwengo iliopo katika Halmashauri ya wilaya ya Mbeya na kuupongeza uongozi wa mkoa na halmashauri kwa kusimamia vizuri ujenzi wa zahanati hiyo.Mhe. Dkt. Mpango amefanya uzinduzi huo Augost 01/2023 katika zahanati hiyo pamoja na mambo mengi pia amewapongeza wananchi wa eneo hilo kwakuona umuhimu wa kuwa na zahanati na kuiomba serikali ili iwasogezee huduma hiyo.
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.