Mamlaka ya dawa na vifaa tiba (TMDA) Nyanza za juu kusini imetoa elimu ya matumizi sahihi ya dawa kwa vikundi via wajasiriamali wa mji mdogo wa mbalizi na shule ya sekondari Ikhoho iliyopo kata ya Maendeleo Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, ili kuwakinga na madhara yatokanayo na matumizi yasiyo sahihi ya dawa na vifaa tiba.
Kwa upende wao washiriki hao wamesema wamenufaika na elimu iliyotolewa na TMDA
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.