Mhe. Beno Malisa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya ameongoza kikao cha DCC ya bajeti mwaka 2024/2025 tarehe 29.02.2024 katika ukumbi Mkubwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya.
Bajeti tarajiwa ni Tsh. 71 Bil ambayo ni fedha kutoka Serikali Kuu, Wahisani na Mapato ya ndani.
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.