• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbeya District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human Resources and Administration
      • Finance
      • Planning, Monitoring and Stastics
      • Health
      • Works
      • Water
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Cleaning and Environment
      • Secondary Education
      • Agriculture, Irrigation and Cooperative
      • Primary Education
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • ICT and Public Relations
      • Legal
      • Election
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Bee keeping
  • Investment Opportunities
    • Tourists Attraction
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Expertise
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Commitee
      • Finance, Administration and Planning Committee
      • Economics affairs, Construction and Environment Committee
      • Education, Health and Water Committee
      • AIDS Prevention Committee
    • Time table
      • Councilors Meetings
      • Visiting Chairperson
  • Projects
    • Approved Projects
    • On-going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • By Laws
    • Service Contract
    • Strategic plan
    • Reports
      • Council Financial Report
      • Medium Term Expenditure Framework
      • Month Revenue and Expenditure Report
      • Council Development Report
      • Annual Performance and Financial Report
      • Full Council Minutes
    • Forms
    • Guidelines
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

UJENZI WA JENGO LA UTAWALA KUWA KIPAUMBELE KWA BAJETI YA 2020/2021.

Posted on: January 15th, 2020

Baraza la madiwani halmshauri ya wilaya ya Mbeya limepitisha rasimu ya bajeti ya kiasi cha shilingi bilioni 47,160,060,466 kitakacho kusanywa na kutumika  kwa mwaka wa fedha  2020/2021.

Akisoma rasimu ya bajeti hiyo mbele za baraza la madiwani, Afisa mipango wa Halmshauri ya wilaya ya Mbeya Ndg. Omary Haji amesema kuwa katika mwaka 2020/2021 halmashauri inakusudia kuratibu shughuli mbalimbali ikiwemo;

ununuzi wa shamba ekari 3 kwa ajili ya kuanzisha shamba la  uzalishaji wa parachichi ,kuendelea kutoa elimu bila malipo kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, kuendeleza ujenzi wa hospitali ya wilaya pamoja na kuendelea kutoa mikopo na elimu ya wajasiriamali kwa wanawake, vijana na walemavu.

Katika bajeti hiyo miradi ya kipaumbele itakuwa ni ujenzi wa jengo la utawala, ununuzi wa gari, kurudisha asilimia 20%  ya mapato ya ndani katika vijiji, kuwezesha ukarabati wa miundo mbinu ya kijamii, utoaji wa mikopo wa vikundi vya akina mama, vijana na walemavu.

Aidhi baadhi ya  madiwani wametoa maoni kuhusu rasimu ya bajeti hiyo  kwa menejimenti ya halmashaui ya wilaya ya Mbeya kuhakikisha inasimamia vyema shughuli zilizo pangwa kwa mwaka huo ilikuweza kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.

 


Afisa mipango wa Halmshauri ya wilaya ya Mbeya Ndg. Omary Haji Akiwasilisha Rasimu ya Bajeti kwa mwaka 2020/2021 katika kikao cha baraza la bajeti

Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Mbeya wakiwa katika kikao cha Baraza la bajeti kwa mwaka 2020/2021

Diwani Vitimaalumu  Mh Pili Adson Mwantowe, kata ya Santilya {CCM} Akichangia hoja katika kikao cha Baraza la bajeti kwa mwaka wa 2020/2021


Announcements

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • View All

Latest News

  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    April 25, 2025
  • View All

Video

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
More Videos

Quick Links

  • MBEYA

Related Links

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mbaliz Road

    Postal Address: 599

    Telephone: 025-2502260

    Mobile: 0762210758

    Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.